kashang123
Senior Member
- Nov 26, 2024
- 154
- 217
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni u
Umaskini ndio sababu kuuHabari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni sana)
niambie poker
Nimekumiss kipenzi na sikuoni kabisaa jukwaani.niambie poker
Ohh!!! miss u too jamani!!! Nipo sana,, kuna mambo tu yamenikaba hivyo sishindi sana humu.Nimekumiss kipenzi na sikuoni kabisaa jukwaani.
Weekend ijayo utakuwepo Mwz? Nije nikupe hi.Ohh!!! miss u too jamani!!! Nipo sana,, kuna mambo tu yamenikaba hivyo sishindi sana humu.
Hapana unajua niko safari. sitakuwepo kabisa mdogo lakini Asante sanaWeekend ijayo utakuwepo Mwz? Nije nikupe hi.
Kuzingatiwa kwake ndo kunafanya uzi uwe mzuriMasharti na vigezo kuzingatiwa 👍
Mshahara ushaumaliza?MawardatDellapina nakupenda
Nachohitaji kwa sasa ni penzi lako MawardatDellapinaMshahara ushaumaliza?
Penzi la mkopo😁Nachohitaji kwa sasa ni penzi lako MawardatDellapina
Papi huwa ni mtu asiye na mkono wa birika, hivyo kitendo cha kuniita tu papi kinadhihirisha kuwa huwa nakupa faranga 😁Kumpendelea bila kumpa pesa sio kweli papi😁
Hahaaa unanijaza sio? Hebu anza kunijazia kibubu changu papi bwana😁Papi huwa ni mtu asiye na mkono wa birika, hivyo kitendo cha kuniita tu papi kinadhirisha kuwa huwa nakupa faranga 😁
Ngoja nirudi salama babi, si unajua niko Yemen 😅Hahaaa unanijaza sio? Hebu anza kunijazia kibubu changu papi bwana😁
Sawa bebe😁Ngoja nirudi salama babi, si unajua niko Yemen 😅