Wa mwisho ndiyo mshindi

story zenyewe zishaanza kuchosha ,bora wanipe tu zawadi maana mie ndio mshindi
 
Thread hii ni moja ya thread isiyoisha kama ilivo tamthilia ya isidingo.
 
Isidingo haiwezi kuisha kwani haina steringi wala kubwa la maadui
 
maadui wakubwa wa Tanzania pendwa ni ujinga umasikini na maradhi...
 
Maradhi na mafisadi nao umewaacha wapi.
Maana wao ndo wanaitafuna nchi kama mfupa kwa fisi...!!
 
Fisi na paka ni maadui wakubwa hasa wakichangia mahala pa Kula na kulala kama vile ccm na chadema bungeni
 
bungeni kuna baadhi ya watu hawastahili kuwemo kama mh Pinda maana hajui wajibu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…