misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
ngano hutumika kutengenezea vitu vingi!
ngano si sembe.....
Ngano si sembe.....
Kamanda yule aliyeusika kumtesa dr ulimboka yuko wap,au amepewa kazi nyingine na Mr dhaifu?
Binadamu wana wivu sana haswa wanapoona mtu amefanikiwa
Binadamu wana wivu sana haswa wanapoona mtu amefanikiwa
tabia ya kung'oana meno au kucha bila ganzi ikome mara moja hata kama mnataka kuua
Amefanikiwa kuhamasisha matumizi ya condom
Kondom zenyewe siku hizi zimechakachuliwa!