Wa mwisho ndiyo mshindi

Wakurya, ni moja ya jamii inayotumikia Taifa letu kwa jasho na damu kwa kuwaingiza vijana wao kwa wingi katika jeshi. Kijana wao wa kiume anaitwa Mura na wa kike Mukari.
 
Wakurya ni kabila linaloamini mapenzi hujengwa kwa kipigo

kipigo ni sehemu na pia kipimo cha penzi kwa wakurya, kwa mila mvulana yaani Mura anatakiwa kuwa na mkono mwepesi kwa mwanamke yaani Mukari.
 
mukari kama mbege ya leo ya kwa elkunda
 
Twiga ni mnyama mwenye shingo ndefu sana,pia hutembea kwa maringo
 
ninyi majinga kama mnyama twiga mnaandika ujinga uso na maana
 
watalii hulpa taifa letu kpato japo hatuoni faida zake kwa sababu wanaonufaika ni mafisadi.
 
Mafisadi wenyewe ni watu maarufu, ila sheria haichukuliwi dhidi yao...ni shidaa
 
Mwalimu nyerere popote ulipo naomba nikufahamishe kwamba nchi yetu imekua shamba la bibi
 
makinda km ya ndege , yan amesahau kabisa bunge lilikotoka, hajui anapolipeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…