Wa mwisho ndiyo mshindi

Ukweli sikuzote utabaki kuwa Ukweli japo haupendwi na wale wanaoupindisha siku zote huishia kuumbuka machoni mwa hadhira ,ona sasa ukweli wa jasusi ambae anapasua vichwa vya mabosi wake CIA huyu ni Edward snowden.

Snowden ni jina lililotokana na theluji.. (naona hapa jamaa walishindwa endeleza ingetakiwa ushinde mathenge)
 
Snowden ni jina lililotokana na theluji.. (naona hapa jamaa walishindwa endeleza ingetakiwa ushinde mathenge)
Theluji ya mlima kilimanjaro inapungua kwa kasi sana kwa mujibu wa wanamazingira wa mabadiliko ya tabia nchi
 
Theluji ya mlima kilimanjaro inapungua kwa kasi sana kwa mujibu wa wanamazingira wa mabadiliko ya tabia nchi
Tabia nchi, mambo ya kata mti panda mti kwa Afrika, kata miti jenga Miji, Viwanda, n.k. kwa Ulaya.
 
Ulaya ulaya hata bongo ukiwa na mapene basi ni ulaya tosha
 
damu ya ngombe na mbuzi na kondoo ni dili kwa wamasai wewe una shit.
 
mawazo mazuri huleta maendeleo ya nchi
Nchi kuendelea haiitaji ubunifu sana, tunahitaji maendeleo ya kweli kwa jamii, hapo mawazo mazuri yanahitajika, mchango wa mawazo toka kwa vijana mahili unahitajika kutubadilisha mtazamo kama unaweza kutusaidia ndugu kilaboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…