Wa mwisho ndiyo mshindi

Kupatikana haki hapa tz ni ngumu sana

sana sana ugumu upo kupata haki ya mlala hoi. Nisije nyimwa haki nikishinda kwani sijafahamu mshindi, zawadi yake nini toka kwenye uzi uliomo kwenye udaku?
 
Michezo yoote ya viwanjani na kwenye kumbi utaipata kwenye bingwa isipokua ile ya kujificha
 
Michezo yoote ya viwanjani na kwenye kumbi utaipata kwenye bingwa isipokua ile ya kujificha

kujificha kunapokua sehemu ya mchezo, unapelekea mchezo kutokua na sheria ongozi. Najiengua, kwani utani umezidi kuharibu mtiririko.
 
Unachotakiwa kufanya ni kuwa mvumilivu.. Mshindi atapatikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…