Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
zimechakakuliwa hela za watoto yatima ijekua za wakachuo
Safe halikubaliki kwenye shindalo hili kwa kuwa ni neno la KIINGEREZA.ukimwi unaua na hauna kinga so play safe.............:eek2:
Safe halikubaliki kwenye shindalo hili kwa kuwa ni neno la KIINGEREZA.
Kiengereza tunalazimisha tu,
Kiswahili chenyewe ni utata
Walimu wa nchi hii wanateseka kwa umasikiniutata kwenye kulipa madai ya walimu
Walimu wa nchi hii wanateseka kwa umasikini
mafisadi nawapa habari..2015 ndio mwisho wenu...