Nzima ?!
Nzima ndio ulizani utashinda?!
Yao tamu..Aibu yako aibu yao?.
Tamu kuliko papuchi
papuchi haiwezi fananishwa na kushindwa!
Kushindwa kunaumiza moyo
moyo una penda kuridhishwa!
Machungu yaletwa na serikali
serikali ya ccm inatutesa!
Inatutesa Engilishi tuliosoma kayumba
Tandale kwa bonge