Kona ni wimbo mzuri wa mafiki zorro.
zorro ni ubini wa mwanamuziki aitwae banana zorro!
hamu ya kula hunitoka kabisa nikikumbuka siku ya kwanza kuingia uvinza
Hahaaa ...aaah
aaah! gemu lishangiliwa na kirusi
1601 mwaka ambao sitausahau
sitausahau kwa sababu ulikuwa mwaka wa faraja
Faraja ni jina la demu wangu wa kwanza Mbalizi Secondary kule mkoani mbeya
Mbeya kuna barid sana
Sana, si mchezo