Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.

Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.

King Henrry nae wakati anaasisi Angalican Church au Church of England na yeye pia alicopy vitu vingi sana kutoka Roman.

Sikuu kuu ya Chrstimas na hata Pasaka ni sikuuu za kanisa la Roman Catholic make ndio waasisi wake, sasa ni ajabu sana waprotestant nao kuanza kuiga na kusherekea.

Charles Taze Russell huyu ni muasisi wa Mashahidi wa Jehova mwinamo karine ya 19 miaka ya 1870 huko. Hawa mashahidi wa Yehova ukifuatilia mafundisjo yao utagundua wako tofauti sana na hawasherekei Chstimas kwa sababu wanaamini ni sherehe za kutungwa.

Eleni G White naye mwaka wa 1860 akisadiana na Mume wake na watu wengine aliasisis SDA church.

SDA church pamoja na Mashahidi wa Jehova hawa ndio hawasherekei iwe ni pasaka wala Chrstimas kwa sababu wanajua fika ni sikuu za kutunga na mbaya zaidi zilitungwa na Roman.

Ingawa pia Wayahudi na wao hawasherekei Chrtimass ila wao sababu yao ni kwamba hawaamini Yesu kama mwokozi wao.
 
Vip Walokole wame copy RC pia? Sema wenyewe hawana upuuzi wa kuabudu sanamu kama RC. Ila eti wana nguvu za kufufua maiti, na wana mafuta ya upako ukiyatumia unapona magonjwa mengi sanaa, sio ya bure unalipia kwa sadaka wanekuja kibiashara zaidi.
 
Bora hata kama walicopy ila hao SDA na Jehova Whitness sio

Wakristo hao.
 
Mtu ukikaririshwa mambo shida sana
 
Vip Walokole wame copy RC pia? Sema wenyewe hawana upuuzi wa kuabudu sanamu kama RC. Ila eti wana nguvu za kufufua maiti, na wana mafuta ya upako ukiyatumia unapona magonjwa mengi sanaa, sio ya bure unalipia kwa sadaka wanekuja kibiashara zaidi.
Wamecopy mambi mengi, kusherekehizi sikuu kuu ni copy tosha
 
Mapovu yote sababu ya Christmas
Mbona kama inawauma sana kuona wenzenu leo wakifurahia Happy birthday ya Bwana Yesu Kristo?

Ni kweli ya kwamba Tarehe 25 ya kalenda ya Gregory Sio Tarehe halisi aliyezaliwa ila waliteua hiyo Tarehe kuadhimisha kuzaliwa kwa Mwokozi maana Tarehe kamili haipo kwenye kumbukumbu za kale,

Yaani kuna watu ni weak kiroho sana maandiko yanasema tunatawala kila kitu hata kama krismas ilianzishwa na wahuni kina shetani sisi tunageuza Laana kua Baraka kama Baalamu vile badala ya kulaani tunabariki
Tunapiga mvinyo na kitimoto tunaenjoy uwepo wa Bwana nyie Mafarisayo,Masadukayo na jamaa yenu Ibilisi endeleeni kuteseka!

Praise the Lord Jesus Christ

Kwako Mgerasi Maghayo johnthebaptist

#Wakisusa sie twala!
😁😁
 
Vipi calendar nayo SDA hamjakopi Rc
Kwani kalenda ni ibada? NDio maana wasabato Ibaada inaanza jua linapo zama na itasiaha kesho yake jua likizama tena. Kalenda sio Ibada na hakuna mahali wanatumia kalenda kwenye kuabudu make hawasherekei hozo mavitu yenu
 
Mapovu yote sababu ya Christmas
Mbona kama inawauma sana kuona wenzenu leo wakifurahia Happy birthday ya Bwana Yesu Kristo?

Ni kweli ya kwamba Tarehe 25 ya kalenda ya Gregory Sio Tarehe halisi aliyezaliwa ila waliteua hiyo Tarehe kuadhimisha kuzaliwa kwa Mwokozi maana Tarehe kamili haipo kwenye kumbukumbu za kale,

Yaani kuna watu ni weak kiroho sana maandiko yanasema tunatawala kila kitu hata kama krismas ilianzishwa na wahuni kina shetani sisi tunageuza Laana kua Baraka kama Baalamu vile badala ya kulaani tunabariki
Tunapiga mvinyo na kitimoto tunaenjoy uwepo wa Bwana nyie Mafarisayo,Masadukayo na jamaa yenu Ibilisi endeleeni kuteseka!

Praise the Lord Jesus Christ

Kwako Mgerasi Maghayo johnthebaptist

#Wakisusa sie twala!
😁😁
Basi ni ujinga na hii ndio Scam kubwa kuliko Scam zozote zile.
 
Hata Mormons(Latter day saints) hawajakopi kutoka ukatoliki
 
Mapovu yote sababu ya Christmas
Mbona kama inawauma sana kuona wenzenu leo wakifurahia Happy birthday ya Bwana Yesu Kristo?

Ni kweli ya kwamba Tarehe 25 ya kalenda ya Gregory Sio Tarehe halisi aliyezaliwa ila waliteua hiyo Tarehe kuadhimisha kuzaliwa kwa Mwokozi maana Tarehe kamili haipo kwenye kumbukumbu za kale,

Yaani kuna watu ni weak kiroho sana maandiko yanasema tunatawala kila kitu hata kama krismas ilianzishwa na wahuni kina shetani sisi tunageuza Laana kua Baraka kama Baalamu vile badala ya kulaani tunabariki
Tunapiga mvinyo na kitimoto tunaenjoy uwepo wa Bwana nyie Mafarisayo,Masadukayo na jamaa yenu Ibilisi endeleeni kuteseka!

Praise the Lord Jesus Christ

Kwako Mgerasi Maghayo johnthebaptist

#Wakisusa sie twala!
😁😁
Merry Christmas 🌹😃😃
 
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.

Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.

King Henrry nae wakati anaasisi Angalican Church au Church of England na yeye pia alicopy vitu vingi sana kutoka Roman.

Sikuu kuu ya Chrstimas na hata Pasaka ni sikuuu za kanisa la Roman Catholic make ndio waasisi wake, sasa ni ajabu sana waprotestant nao kuanza kuiga na kusherekea.

Charles Taze Russell huyu ni muasisi wa Mashahidi wa Jehova mwinamo karine ya 19 miaka ya 1870 huko. Hawa mashahidi wa Yehova ukifuatilia mafundisjo yao utagundua wako tofauti sana na hawasherekei Chstimas kwa sababu wanaamini ni sherehe za kutungwa.

Eleni G White naye mwaka wa 1860 akisadiana na Mume wake na watu wengine aliasisis SDA church.

SDA church pamoja na Mashahidi wa Jehova hawa ndio hawasherekei iwe ni pasaka wala Chrstimas kwa sababu wanajua fika ni sikuu za kutunga na mbaya zaidi zilitungwa na Roman.

Ingawa pia Wayahudi na wao hawasherekei Chrtimass ila wao sababu yao ni kwamba hawaamini Yesu kama mwokozi wao.
Kwa hiyo yeyote asiyesherehekea Christmas/pasaka ndiyo anakuwa mwema sana?
 
Krisimasi ni utamaduni wa wazungu uliochukuliwa na kuingizwa katika ukatoriki na ku9ngezewa mambo ya Mungu.
Wasabato wazungu wanasherekea krismass mkuu.
 
Naomba ieleweke na iendelee kueleweka. Kanisa la Roman Catholic linasherehekea KUMBUKUMBU YA KUZALIWA YESU KRISTU, na linatambua wazi kwamba tarehe halisi ya kuzaliwa Yesu haipo katika kumbukumbu. Kwa hiyo mtu yeyote wa imani yoyote anayedhani kwamba ANALETA HOJA MPYA KWA kusema kuwa tarehe 25 Disemba sio tarehe halisi ya kuzaliwa Kristu, basi ajue kuwa HIYO SIO HOJA MPYA, HATA RC WANAJUA SIO TAREHE HALISI. Kwa mantiki hiyo, uzi wowote au post yoyote inayohoji, haitakuwa na majibu zaidi ya kwamba HIYO NI KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU.

Iwapo wewe unasherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwako (ni kumbukumbu maana katika uchanga ule, haukuwa na akili ya kujua tarehe halisi zaidi ya kusimuliwa), iweje uzuie wengine wasisherehekee KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KRISTU? Wewe ni zaidi ya Kristu? Sikukuu njema!
 
Back
Top Bottom