Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

Wewe na nani? 😀
Kwahiyo hutaki au?
Kwamba wewe muda huu unaishi kwenye misingi ya Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylon?

Upo chini ya mipango wa kalenda ya Gregory ndio maana hata leo hii utake usitake Christmas inakuathili kwa namna Moja au nyingine either umepumzisha poumbu zako home au upo kwenye business na washerekeaji

Hutaki au sema hutaki?
Utake usitake mitano tena
Shabhaaash!
😁😁
 
Mtu yeyote including mleta uzi naomba anielimishe why hayo madhehebu 2 ulioyataja HAYASHEREHEKEI pasaka? Msaada tafadhari
 
Mtu yeyote including mleta uzi naomba anielimishe why hayo madhehebu 2 ulioyataja HAYASHEREHEKEI pasaka? Msaada tafadhari
Wanafuata itikadi za Aurius (Aurianism) mzushi mmoja ndani ya kanisa aliyemdogosha Yesu Kristo na Roho Mtakatifu. Uzushi wake ulidhibitiwa kwenye Mtaguso Mkuu wa Nicea, 325 AD (ili wasinune tuwawekee CE but it is the same reference).

Hata essence ya "Yesu sio Mungu" ni kutokana na uzushi huo huo ambao ulikuja kukopiwa na dini nyingine baadaye. Google utapata habari zake na madhehebu yanayofuata huo uzushi.
 
Wanafuata itikadi za Aurius (Aurianism) mzushi mmoja ndani ya kanisa aliyemdogosha Yesu Kristo na Roho Mtakatifu. Uzushi wake ulidhibitiwa kwenye Mtaguso Mkuu wa Nicea, 325 AD (ili wasinune tuwawekee CE but it is the same reference).

Hata essence ya "Yesu sio Mungu" ni kutokana na uzushi huo huo ambao ulikuja kukopiwa na dini nyingine baadaye. Google utapata habari zake na madhebu yanayofuata huo uzushi.
Naendelea kujifunza
 
SDA na RC uzi wenu huu. Njooni mtwangane
Rc Hana muda wa kutwangana na yeyote Ila hao wengine ukienda hata kwenye mahubiri yao badala ya kumzungumzia Mungu wanazungumzia rc .
Wahindu Wana sherehe zao, wachina hivyohivyo lakini wao wamekomaa na rc
 
Ni vita eti
Kwa baadhi ya watu wanaopenda kushadadia mambo ya wazungu na waarabu ,dini ni zaidi ya vita kwao.

Utakuta mtu mishipa imemtoka hatari kisa dini 😆😆😆😆😆.

Merry Christmas 🎄 my love
 
SDA wameshavurugana kuhusu Utatu Mtakatifu. Mwanzo walikuwa wanakataa concept ya Utatu Mtakatifu (Trinity), sasa hivi wanabishana kuhusu maandiko ya Ellen White. Wapo wanaosema aliukubali Utatu Mtakatifu, wapo wanaokataa na kusema kuwa alichoandika hakumaanisha kuukubali Utatu Mtakatifu
ushahidi leta
 
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.

Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.

King Henrry nae wakati anaasisi Angalican Church au Church of England na yeye pia alicopy vitu vingi sana kutoka Roman.

Sikuu kuu ya Chrstimas na hata Pasaka ni sikuuu za kanisa la Roman Catholic make ndio waasisi wake, sasa ni ajabu sana waprotestant nao kuanza kuiga na kusherekea.

Charles Taze Russell huyu ni muasisi wa Mashahidi wa Jehova mwinamo karine ya 19 miaka ya 1870 huko. Hawa mashahidi wa Yehova ukifuatilia mafundisjo yao utagundua wako tofauti sana na hawasherekei Chstimas kwa sababu wanaamini ni sherehe za kutungwa.

Eleni G White naye mwaka wa 1860 akisadiana na Mume wake na watu wengine aliasisis SDA church.

SDA church pamoja na Mashahidi wa Jehova hawa ndio hawasherekei iwe ni pasaka wala Chrstimas kwa sababu wanajua fika ni sikuu za kutunga na mbaya zaidi zilitungwa na Roman.

Ingawa pia Wayahudi na wao hawasherekei Chrtimass ila wao sababu yao ni kwamba hawaamini Yesu kama mwokozi wao.
Yote ni mema tu, sherehe ni maadhimisho tu ya kukumbuka matukio makuu, leo hii makanisa yalijaa na hata watu kukosa seat, hii inasaidia kwa kiasi fulani kupunguza matendo maovu
 
Nyie huwa mnasherehekea sikuku zenu za kuzaliwa watu wakisherehekea siku ya masihi kuzaliwa ni kosa?
 
Back
Top Bottom