Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

Wewe na nani? 😀
Kwahiyo hutaki au?
Kwamba wewe muda huu unaishi kwenye misingi ya Mfalme Nebuchadnezzar wa Babylon?

Upo chini ya mipango wa kalenda ya Gregory ndio maana hata leo hii utake usitake Christmas inakuathili kwa namna Moja au nyingine either umepumzisha poumbu zako home au upo kwenye business na washerekeaji

Hutaki au sema hutaki?
Utake usitake mitano tena
Shabhaaash!
😁😁
 
Mtu yeyote including mleta uzi naomba anielimishe why hayo madhehebu 2 ulioyataja HAYASHEREHEKEI pasaka? Msaada tafadhari
 
Mtu yeyote including mleta uzi naomba anielimishe why hayo madhehebu 2 ulioyataja HAYASHEREHEKEI pasaka? Msaada tafadhari
Wanafuata itikadi za Aurius (Aurianism) mzushi mmoja ndani ya kanisa aliyemdogosha Yesu Kristo na Roho Mtakatifu. Uzushi wake ulidhibitiwa kwenye Mtaguso Mkuu wa Nicea, 325 AD (ili wasinune tuwawekee CE but it is the same reference).

Hata essence ya "Yesu sio Mungu" ni kutokana na uzushi huo huo ambao ulikuja kukopiwa na dini nyingine baadaye. Google utapata habari zake na madhehebu yanayofuata huo uzushi.
 
Naendelea kujifunza
 
SDA na RC uzi wenu huu. Njooni mtwangane
Rc Hana muda wa kutwangana na yeyote Ila hao wengine ukienda hata kwenye mahubiri yao badala ya kumzungumzia Mungu wanazungumzia rc .
Wahindu Wana sherehe zao, wachina hivyohivyo lakini wao wamekomaa na rc
 
Ni vita eti
Kwa baadhi ya watu wanaopenda kushadadia mambo ya wazungu na waarabu ,dini ni zaidi ya vita kwao.

Utakuta mtu mishipa imemtoka hatari kisa dini 😆😆😆😆😆.

Merry Christmas 🎄 my love
 
ushahidi leta
 
Yote ni mema tu, sherehe ni maadhimisho tu ya kukumbuka matukio makuu, leo hii makanisa yalijaa na hata watu kukosa seat, hii inasaidia kwa kiasi fulani kupunguza matendo maovu
 
Nyie huwa mnasherehekea sikuku zenu za kuzaliwa watu wakisherehekea siku ya masihi kuzaliwa ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…