Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

Kuna picha hiyo wengine wako ktk ofisi wanakagua files, yaan nimecheka hadi machozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umenichekesha na huu Ni usiku Niko mwenyewe nacheka mno. Inaonekana Ni waandamanaji wazuri Sasa hapo wachague mmoja awe raisi wao
Eti nao wanaojifanya raisi wanapitia documents za nchi zao.
Yaani mbavu Sina ujue
 
Mie nimecheka ile picha, hadi machozi, tena wako bize wenyewe na files yaan, khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeamini wananchi wakiamua wanaweza.
 
Madikteta isomeni hii, ipo siku ila ka Afrika hapa mtakufa sana kabla kuifikia ikulu kihivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…