Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

Wa-Sri Lanka Ndani Ya Makazi Ya Rais

Hawa sijui wana sainishana mkataba gani.
IMG_20220710_134727.jpg
 
Kuna picha hiyo wengine wako ktk ofisi wanakagua files, yaan nimecheka hadi machozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani umenichekesha na huu Ni usiku Niko mwenyewe nacheka mno. Inaonekana Ni waandamanaji wazuri Sasa hapo wachague mmoja awe raisi wao
Eti nao wanaojifanya raisi wanapitia documents za nchi zao.
Yaani mbavu Sina ujue
 
Mie nimecheka ile picha, hadi machozi, tena wako bize wenyewe na files yaan, khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeamini wananchi wakiamua wanaweza.
 
Back
Top Bottom