Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

Tongoza yako tu ni changamoto kwa unaemtongoza🤣🤣🤣
Komaa na comedy utatoboa.
 
Msalimie babu Asprin mwambie nimemuona leo mlimani city alivyokiwa anajiringisha na vischana vya Bima.
Ama zake ama zangu😅😅
Hahahaha dah unanionea bure asee....

Vile visichana pale usipoongea kiinglishi basi unatoka bilabila. Nami unajua tena nimesahau dikshenare yangu kwenye vikao vya kuomba kura.

Baada ya kusema hayo namalizia kwa kuomba kura yako hapa kitandani
 
Nije with au without?

Nataka nikuzamishe baharini kwenye kina kirefu 😅😅🤪🤪🤪
 
Msalimie babu Asprin mwambie nimemuona leo mlimani city alivyokiwa anajiringisha na vischana vya Bima.
Ama zake ama zangu😅😅
Utajua na huyo mzee wako.. nipo nahangaikia zile karatasi nilizoandika essay ya mtongozo ili niziweke humu lkn naona panya wameshasemanazo!! Hata panya wananihukumu!☹️
 
Nije with au without?

Nataka nikuzamishe baharini kwenye kina kirefu 😅😅🤪🤪🤪
Kam wizauti
...
Weekend hii kwanini tupoteze muda kusasambuana... Kitu shwaaap kwenye mfereji wa Suez... then ndo tunaangalia vilivyomo kwenye vyupa na juu ya mkaa wa moto
 
Hivi mbona mnaona hii ni komedi..??
Angalia uandishi wako, maneno unayotumia, watu walio na milio (matatizo) huwa hawaandiki uandishi kama huo yaani wanatia huruma.. sasa wewe uandishi wako uko tofauti..
 
Angalia uandishi wako, maneno unayotumia, watu walio na milio (matatizo) huwa hawaandiki uandishi kama huo yaani wanatia huruma.. sasa wewe uandishi wako uko tofauti..
Hivi mtu kutumbukia kwenye swimming pool kama mshale ni chekesho Hilo..? Unahabari nilifikia kichwa mpk kale kasehemu nilikofikia kwenye kichwa nywele zimegoma kuota! Sasa hayo sio masikitiko..?
Hivyo kuitwa posta ni Jambo chekevu..? Je,kuitwa kiberenge je..?

Mbona mnakuwa hamtake vitu serious..
 
Utajua na huyo mzee wako.. nipo nahangaikia zile karatasi nilizoandika essay ya mtongozo ili niziweke humu lkn naona panya wameshasemanazo!! Hata panya wananihukumu!☹

Kibeeee umeamkaje?

Vipi umenusurika?

Haupo kwenye list?
 
Back
Top Bottom