πππHatariBora Hata wewe Mimi aliniita mbwa .
Nikamtumia picha ya mambwa mengi halfu nokamwambia
"Onesha babako yukwapi hapa kwenye hii picha yetu ya pamoja".
Sasa hivi ndo mke huyu black mamba
Hahahaha dah unanionea bure asee....Msalimie babu Asprin mwambie nimemuona leo mlimani city alivyokiwa anajiringisha na vischana vya Bima.
Ama zake ama zanguπ π
Hahahaha dah unanionea bure asee....
Vile visichana pale usipoongea kiinglishi basi unatoka bilabila. Nami unajua tena nimesahau dikshenare yangu kwenye vikao vya kuomba kura.
Baada ya kusema hayo namalizia kwa kuomba kura yako hapa kitandani
Utajua na huyo mzee wako.. nipo nahangaikia zile karatasi nilizoandika essay ya mtongozo ili niziweke humu lkn naona panya wameshasemanazo!! Hata panya wananihukumu!βΉοΈMsalimie babu Asprin mwambie nimemuona leo mlimani city alivyokiwa anajiringisha na vischana vya Bima.
Ama zake ama zanguπ π
Kam wizautiNije with au without?
Nataka nikuzamishe baharini kwenye kina kirefu π π π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Namimi nizamisheNije with au without?
Nataka nikuzamishe baharini kwenye kina kirefu π π π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Angalia uandishi wako, maneno unayotumia, watu walio na milio (matatizo) huwa hawaandiki uandishi kama huo yaani wanatia huruma.. sasa wewe uandishi wako uko tofauti..Hivi mbona mnaona hii ni komedi..??
Hivi mtu kutumbukia kwenye swimming pool kama mshale ni chekesho Hilo..? Unahabari nilifikia kichwa mpk kale kasehemu nilikofikia kwenye kichwa nywele zimegoma kuota! Sasa hayo sio masikitiko..?Angalia uandishi wako, maneno unayotumia, watu walio na milio (matatizo) huwa hawaandiki uandishi kama huo yaani wanatia huruma.. sasa wewe uandishi wako uko tofauti..
Utajua na huyo mzee wako.. nipo nahangaikia zile karatasi nilizoandika essay ya mtongozo ili niziweke humu lkn naona panya wameshasemanazo!! Hata panya wananihukumu!βΉ