Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

HAHAAAAAAAAAAA! sasa coz biahsara ina mambo mengi basi ndo uikwepe? Kwa mantiki hio hata shule mtu hutosoma coz kuna mambo mengi ya kufaulu ama kufeli.

Ujue mimi mwenzio mishemishe zangi ni kkooo na kitumbini daily! So maybe nimezoea kuona watu wanakuja na 10m na kumwaga razi ndani ya mda mfupi.

Sikatai wengine wanaanguka ila kuanguka ndo kujifunza unasimama tena na tena. YAANI UNGEMUONA ZAKARIA PESA ANAYOINGIZA PALE KITUMBINI UNGELIA MACHOZI!!!!!!!!!!! Hana shule kivile wala nini.
 
ni mtazamo wako, uko huru kusema, lakini usiwapuuze kwani nao ni mawazo yao. zako umezungusha toka lini na ni ngapi sasa

Mi bado mdogo wewe, nimetoka chuo 2010, nimerudi tena kuongezea, so mda huu najipanga. In the mean time niko KKO (MAHAKAMA YA UTAJIRI) nausoma mchezo kwanza na kujifunza kanuni from the inside.

If you have 8 hours to chopp a tree, Use six to sharpen your axe!!!!!!!!!

Mimi mbishi sanaaaaaa! Nimeamua kwenda kujitosa kwa mapapa na nyangumi!!!!!!!!!!! Ukijiusisha na mwizi na wewe utakuwa mwizi, so najiusisha na matajiri on the mean time kuwazungushia za kwao kutengeneza jina.

HII MBIU YA MGAMBO ALIENO JAMBO ALIFATE, ANAEBISHA BASI! NENO LANGU SIO SHERIA!
 
Hili ni wazo 2 ambalo mtu unatakiwa ulichukue na kulichambua. Maana most of wajiriwa biashara zinawashinda kutokana na usimamizi mdogo kwani muda mwingi unaishia kazini na hii inawakatisha tamaa na kuwaza swl la nyumba na viwanja km asset ktk maisha yao.
 
PIPS ALL IM SAYIN IS SHIT IS GOIN DOWN RIGHT NOW!!!!!! THINGS ARE HAPPENING! PEOPLE ARE MAKING THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!! PEOPLE LIKE YOU AND ME!!!!!!!!!!! JUST PLAYIN THEIR CARDS WELL! PEOPLE ARE GETTIN FLITHY RICH!!!!!! ATLEAST TRY TO BE LIKE THESE PEOPLE!!!!!!!!!! EVEN IF YOU FAIL UTAKUWA UMEWAKARIBIA! (Sio kujivua gamba kabisaaa na kutokujaribu kabisaaaa)

Ila kama mjuavyo maisha ni kuchagua!!!!!!!!!!!!!!!!

Jiulize je kwa kujenga Tegeta Salasala manini huko in 10 yrs hio investment itakufanya UISHI MASAKI/OBAY! Think big guys!!!!!!! Look at the bigger picture!

IT ALL COUNTS DOWN TO MAKIN SHIT HAPPEN! Watoto wadogo 30's wanashusha mighorofa ya hatareeeeeee! Wala hawalogi. UJASIRIA MALI (Inabidi uwe jasiri kwelikweli)

Wenzangu mmeridhika na mlichonacho! MIMI SIJARIZIKA NA NITAKOMAAA HADI KIELEWEKE! Lazima niwe among the few people residing in Obay! Failure is not an option. Who gets to decide nani afikie level gani ya maisha? (WEWE MWENYEWE)

IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES, IF YOU DONT GRAB THEM BY THE BALL YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE!!!!!!!!!!!! (GET RICH OR DIE TRYING)

Ukiamua uzeeke na nyumba 2, maisha ni yako chaguo ni lako, rember dont blame God alikupa 10Mills in a point in ya life, so he is innocent of ya blames.

MAISHA NI YENU CHAGUO NI LENU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

HAHAHAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!! Mswahili mtaji Mpaka akope!!!!!!!!!!!!!! Its Pathetic! Mimi nikianza kukupa ushahidi wa Wa Rombo waliokuja kkoo na mabegi wakauza maduka ya watu na kukuza mitaji from 0, NITAJAZA JAMVI HILI! Ila saivi wenzio wanamiliki mali ya maana wala sio ya kukopakopa! Afu hatujua hata what is a cashflow, wala security, wala yield, na cost of capital. Sie tunajua elfu kumi ni nyekundu BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSSSSS!

Bakia hivo hivo UTUPUNGUZIE USHINDANI! (Nitakuja kupanga kwenye hizo nyumba zako kama zina hazi lakini!Lol!)

Ukitafuta sababu kwanini usifanye kitu utapata kontena na makontena ila ukitafuta kwanini ufanye ukipata moja una bahati!

SHIT IS HAPPENIN! CHOOSING NOT SEE IT DOESNT MAKE IT VANISH!!!!!!!!!!!


Bongo hii hii watu wansukuma ndinga za 2012 mwishoni(Kina Zaka), wewe umejirizikia zako kijana mdogo 25, umerizika kuwa huenda ukafa hujasukuma ndiga la 3yrs prior kama ukiendelea kufanya mambo unayofanya sasa. This is a Wake Up Call!!!!!!! Jiulize hio ajira in 20 yrs utakuwa wapi? Mimi maza wangu anafanya kazi tangia 1985 na bado anapiga mzigo, ila Cousin kaanza business juzi last year ila Maza hawezi hata kudhubutu kuota atakuja kushika pesa kama ile. Ila amerizika mwenyewe, anasema tu alifanya makosa siku nyingi so its too late for her. JIULIZE WHERE ARE YOU GOING????????? HOW LONG WILL YOU GET THERE?
 

Ngumu kumeza,Tamu kutema...yaan umeeleweka kupita maelezo,i refuse to die poor,haya mambo ya kuiga mwenzangu kanunua kile na mm ninunue yamepitwa na wakati,kajenga kile na mm nijenge hapana kwa kweli...
 
Napolen Hill anasema '' both poverty and riches are the offsprings of thought''

Wazo aliloleta Lara 1 linaweza kukukomboa ukilichukulia positively kuendana na mazingira uliyopo. Yaani mfanyakazi, mfanyabiashara, jobless etc. "WAZO NI USICHIMBIE HELA> ZUNGUSHA HELA UPATE HELA''
 
Tusikubali kukatishwa tamaa dada katupa motisha kwamba inawezekana si watu wengi bongo wana mawazo haya ..
 
Tusikubali kukatishwa tamaa dada katupa motisha kwamba inawezekana si watu wengi bongo wana mawazo haya ..

Jaribu kadri uwezavyo kujiassociate na watu wanao sababisha mambo yatokeeee!!!!!!!!!!! We hushangai watu STD 7 wanasababisha mambo ya hatariiii! Simply because wamedhubutu!

Hatua ya 1 ni kujikubali kama mimi, nimekubali mimi ni Maskini na nikicheza naweza kuzeeka masikini bila masihara!

Then nikachambua huku kutoka kupo kweli ama ndo nashikwa wazimu? Nani katoka na katoka vipi.

Sasa ndo najipanga kwa kuangilia falni alitoka hivi, flani alianguka pale, kama hivi nausoma mchezo from the inside.

Ila ningeendelea kujidanganya, aaah! Nimejitahidi sanaaa, Kusema sijafanikiwa ni kukufuru, Si unaonaaa, nina elimu flani, nina maendeleo hutu, flani hana kabisaaaaaaaa, flani ndo usiseme kwake kunaungua (Badala ya kusema Mengi anaongeza makampuni tu wakati mi napost revenue zake hapa)

Kidogo ulichonacho simaanishi Ukidharau, la hashaaaa! Kikupe changamoto, kama umeweza kupata hiko unaweza kupata hata mara 10 ya hiko! TUSIRIZIKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mchango wako ni wa 6 na nashawishika kukuambia kuwa ingawa sijafika kwa wachangiaji wengine wewe unaonekana kumaliza kiu ya majibu yote.Kusema ukweli kama watu hawajui basi inatakiwa wajue leo mpaka milele.Hakuna kitu kinachomnyima mwanadamu wa Dar raha kama nyumba ya kupanga,ukipanga nyumba unashindwa kupanga maendeleo.

Kuhusu fursa hizo si kila mtu anaziona ni mpaka apewe semina, na pia kuhusu watu kujenga nyumba na kununua viwanja nayo ni biashara tena ya nguvu,ni miongoni mwa biashara ambazo hata haziozi so long as umenunu kihalali na uwanja hauna mizengwe.Mfano mzuri ni mimi mwenyewe, nilinunua uwanja Yombo - Buza miaka ya 2006 kwa Tsh 1,200,000 nikauuza mwaka 2009 kwa shilingi Tsh 5,000,000 hapo hapo mwaka 2009 nikaenda kununua shamba la ekari 2 kwa milioni 4 kule Maji Matitu Mbagala ambalo mwaka 2011 nimeliuza kwa milioni 25 so kusema ukweli hakuna biashara kwa sasa inayolipa kama mashamba na viwanja so long as usiwe na haraka
 
Angalia kwa sasa kama kuna nyumba imejengwa kwa zaidi ya miaka mitatu haina mtu ndani anaishi.Nyumba nyingi magofu ni zile za enzi ya Mwinyi wakati kila kitu ni ruksa sasa wakati Ben anaingia ambao walikuwa hawajazimalizia ziliishia hivohivo.Niambie chochote,niite mawazo mgando lakini mimi nilianza na nyumba kabla hata ya kufikiria chochote.Wewe hujui maisha ya kupanga ndugu yangu yanavotesa.Nilipanga mwaka mmoja tu nikaamua kuishia zangu kwenye nyumba ambayo hata plasta ilkuwa haina
 
Upo Right kabisa Lara1,,,kujenga kupo tu just imagine unajenga nyumba miaka 3 na hiyo hela ungeendelea kuizungusha je? Wakati ukiwa na hela nyumba unaijenga miezi 2-3.

sijui kama unajua kuna kitu kinaitwa time value of money na inflation.
 

Kuna kitabu kingine kinaitwa the richest man in Babylon, theme yake ni karibu sawa na rich dad poor dad. One of the secrets ktk hicho kitabu inasema.....
"To a man's heart it brings gladness to eat the figs from his own trees and the grapes of his own vines. To own his own domicile and to have it a place he is proud to care for, putteth confidence in his heart and greater effort behind all his endeavors. Therefore, do I recommend that every man own the roof that sheltereth him and his.
"Nor is it beyond th
 
sijui kama unajua kuna kitu kinaitwa time value of money na inflation.

Je hio time vale na inflation ni reasonable enough kujustfy wewe kufanya sunk costs? Kuzungusha kunaweza kuwa na yield kubwa sana kujustfy inflation na TMV!!!!!!!!!!!
 
This thread is very challenging and educative. Imetugusa wengi, muhimu ni kuchukua hatua kwa kuanzia unapoona panafaa.
 
Kwenye inflation nadhani ndio muafaka zaidi kuinvest ktk real property than anything else.

Hahahaaaaaaa! Inflation ni moja ya factors za kuconsider! Je kama retrn za kuzungusha zina rate kubwa sanaa kuliko hako ka inflation? Huwezi tu kuanalse inflation ngapi, basi ndo unaamua bila kuangalia huko kuzungusha kutakulipa nini?

Kweli sio kila mtu ana maarifa ya business!
 
Kwenye inflation nadhani ndio muafaka zaidi kuinvest ktk real property than anything else.


we need to train them to see this fact, our currency is a near toilet paper currency it is more valuable today than tomorrow
 

Mdau umeongea point ila wanaojenga wengi wao huwa hawazichangi mpaka zifike hizo 5milion au 20 million (hawa nadhani itakuwa haki kama watafuata mawazo yako maana ni kweli kabisa investment ni muhimu), lakini ukiangalia walio wengi ni design ya ana laki zake 3 ana mwaga tripu ya mchanga alafu baada ya miezi 2 ananunua cement baada ya miezi 6 anakuja anapiga msingi anatulia. Na wanafanya hivi kwa kuwa vipato vyao havitabiriki na kodi kila siku ni issue pia uhakika wa investment kwa hapa kwetu kuna mazingira ni challenging hasa kwa mtu anaefanya kazi maana itabidi uwe na mtu anaekusaidia kufanya on your behalf (mwisho wa siku anakuchakachua maana kwa mtu anaeanza business lazima atakuwa anai-operate in local context ndio maana mtu anaamua kujilipua na kukomaa na mjengo mpaka kuvaa anasahau ili mradi awe na uhakika na pa kukaa), fursa zipo ila kunahitaji system ambayo ipo wazi na isoyoruhusu ujanja ujanja maana fitina za kushushana hapa kwetu ni nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…