KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa mawazo yangu hapo ndipo opportunity ilipo,kwamba watu bado wamelala na kuishia kulalamika kwamba biashara ngumu,na misamiati mingi ya kiuchumi ya lugha za kigeni na theory za darasani,mtu anaongelea vitu vya kwenye eneo la tukio sisi tunabishana.ben van mike;
I think hii thread imeonyesha kwanini wasomi au watu wanaofuata vitabu hawafanyi biashara na watu walioshia darasa la saba wanamaghorofa mjini na wanafanikiwa kibiashara .........watu wamemwaga theories humu kibao ....lakini research ndogo tu ya wafanyabiashara waliofanikiwa duniani wengi hawajasoma ...
Ruge keshasema, Ruge ndio nani na wewe? Usilete ukicheche wa kuwakia wakia watu nje nje, hebu kamtafute pembeni hukoRuge keshasema fursa ziko nyingi mnoooo!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza Ucommunist na sera za kizamani za utajiri ni kumiliki nyumba na gari.
Sikatai nyumba ni a very valuable asset, na ina appreciate in value with time lakini this is not necessarily the case always. Appreciation na returns za hio nyumba zinaweza zisiwe reasonable enough kujustfy wewe kufkia 40Mills au 30Mills leo hii. Hio initial investment inaweza kuchukua hata 20yrs kujirudisha tu bila kujilipa. Imagine hio 40Mills ungewekeza kwenye opportunity zingine zenye large returns, na kuhakikisha unachukua calculated risk in 20yrs si unweza kujikuta una 400Mills na mijumba ya kumwaga!
Sio kwamba wa tz wengi hatushiki mbesa, no! tunashika sanaaa sema priority ndo zinatuangusha haswaa waajiriwa wa white collar jobs. Ile breakthrough ya msomi kutoka maisha ya kawaida na kuwa mwekezaji anae ajiri watu asilimia kubwa hawaifikiii. Mtu akishika tupesa tudogo anakimbilia kutuzika mashambani huko!
Vijana wenzangu unashika tu 10mills unawahi kutuzika Mbagara kiburugwa sijui huko au Mbezi maramba mangapi sijui. Unaongezea kuzika mamilioni hadi yafike hata 50 in 4 yrs hadi umalize jumba hilo. Kisha kodi unapoke 100,000/= in 10 to 20 years haiendi mbali na hapo. Watu waliojenga Tabata in 1990's nyumba mpaka leo Tbt ni 200,000 kwa mwezi?????
Tubadilike tuwe capitalistic. Ukishika 10m ujipange izungushe ushike 50m. It all about opportunity and risk taking this is the only key kuwa billionea. Ruge keshasema fursa ziko nyingi mnoooo! Tabia ya kuzika tuiache. Nyumba ziko kibao Sinza, Masaki, Obay, Knyma kwanini uende porini? Hio 10Mills izungushe hadi ifike 300Mills ununue nyumba ya uhakika Kinondoni. This is the bigger picture!
Thanks you all!
Point yako inakuwa explained na hii quote "Some people see the glass half full. Others see it half empty. wewe umeamua kuchagua kuitazama glass ya iliyowekwa maji nusu kama half empty na sio half full. Yaani umejikita kwenye kuidentify problems zaidi na sio opportunities. We cant move that way.
Tanzania ina watu 45m, wakulima ni 85% na wapo vijijin. Kimsingi ni wakulima wa jembe la mkono ambao tumashajiridhisha kuwa hawana uwezo wa kufeed 45 people. Hivi hii wewe unahitaji mwekezaji kuiona kuwa ni opportunity???Serikali yetu pmj na mapungufu yake, inajitahd kuweka mazingira rafiki kwa wanaojishughulisha. Huwezi letewa hela nyumbani.
Take tu initiative nenda hata wizara ya kilimo ulizia fursa zilizopo, Nenda walayani ipo hapo mirad ya district agri dev plans (DADPS) zipo hela hapo, nenda TIB, ipo pesa pale sasa tunataka nn cc jaman??? wizara ya kilimo inaweza ikakuwezesha ukapata hata heka 100 bure! i mean bure. ila hatutak kujituma. Cc ni wababaishaji tu, ndo the only expalnation. Anayebisha nipo tayari kusonga naye then tuone km hatutatoka.
Tanzania zipo opportunities nyingi sana, ila ni kwamba watu tu hawana uthubutu kama anavyosema Lara1. Biashara is all about how you execute na sio about how well your business plan/idea is. Mimi sio bizman ila naona kabisa kuwa zipo opportunities ambazo zinantaka uthubutu tu tena nyingine wala hata co mtaji at all.
Imagine mtu unalipwa mshahara wa 1 million, hii ukitoa kodi na mausafiri, ma lunch ukiwa kazin na nn mwisho wa cku ni kama umepata laki 6 kwa mwezi, tena hapo ujiminye hasa. ukigawanya kwa siku 30, utagundua kuwa umepata 20,000 per day. Kuhusu kukosa muda nalo ni tatizo lilelile, kwann ukose muda wa kukuzalishia pesa ming afu ukapata muda wa kukuzalishia 20,000 kwa mwajiri wako????
Tuassume wewe una degree moja. Unachotaka kusema hapa ni kuwa umeshindwa kutumia akili yako kupata kipato zaid ya 20,000 kwa siku na ndomana umeamua kuajiriwa.
Huu ni uvivu tu wa kufikiri. Takwimu zinaonyesha hakuna mwajiriwa Tajiri. Ili kuwa tajir unahitaj kufanya biashara na co kusaka high pay jobs. Katika mtandao wa matajiri wa Forbes, hakuna mwajiriwa pale aliyekuwa tajiri. sasa ni kwamba cc waajiriwa hatupendi kuwa matajiri au ni uvivu tu wa kufkiri???
Tanzania opportunities zipo nying sana. Mfano katika sekta ya kilimo. Leo hii wewe weka mipassion yako miche 500 tu kwenye heka zako mbili afu unambie ukianza kuvuna km hutopata zaid ya 20 per day. Hilo ni zao moja. Yapo mengi sana.
Huyo alopata 10m angesema achukue just 5m akannua miche yake ya maembe ya kisasa kama 500 kwenye kama 5 hekas huko mlandizi. Angepata pesa nyingi kwa mwaka kuliko kodi ya nyumba atakayoijenga kwa 10m au hata nyumba ya 50m. so ni namna ya kufkiri tu.Tatizo letu sehemu tunayohitajika kufikiri sisi huwa tunawaza. Mimi na concur na mawazo ya Lara1. Somewhere tuna problems ya kufikiri, nadhan ni lishe ya utotoni.
Mkuu patriot.
Huo ndio ukweli wengi wetu ambao ni waajiriwa ni wavivu wa kufikiri and not not ready to take risk. Tuko busy kubeba majina ya makampuni tunayofanyia kazi kama vile ni yakwetu ( iam working with so and so company our offices are at this building in this street) hamna kitu ujinga mtupu.
EXACTLY!!!!!!!!!!!!! Ungekimbilia kuizika ungekuwa mmiliki wa maana wa gofu la mjengo wa L kibaha kwa matiasi! (Perdon my sarcasm) Sasa tuseme leo ukiamua kujenga paaaah! Si utajenga nyumba ya maana zaidi na neighbour hood nzuri zaidi kuliko ungekurupuka kufukia pesa kipindi kile!
People its time to change!
Kiongozi kuwaza ni kama una daydreams hivi. Kufikiri ni kudirect akili yako katika kutafuta suluhisho la kitu flani. Kuwaza hakukupelekei kusaka suluhisho lolote yan ni mimawazo inakujiajia tu, mara unawaza upo kwenye jumba la kifahari bila kuelezea namna ya kukufikisha kwenye hiyo hali. Hapo chini ni a) mkao wa kufikiri na b) ni mkao wa kuwaza/wa daydreamersdaisy umeniacha hoi kwa haya maneno yako!
"tatizo letu sehemu tunayohitajika kufikiri sisi huwa tunawaza. Mimi na concur na mawazo ya Lara1. Somewhere tuna problems ya kufikiri, nadhan ni lishe ya utotoni"
Mkuu daisy tofauti ya kuwaza na kufikiri ni nini mkuu? usije ukasema nimeanza kuleta theories, teh teh teh!!
Mito ndo hivyo kiongozi. Ipo haja ya kubadilika kiongozi!Patriote kumbe hata signature yako tu imebeba ujumbe wa kutosha, nilikuwa sijaisoma!! pamoja mkuu!
HALOOOOOOOOOOOOOO! I NEVER GOT WHOOPING 30 LIKES! PAH! JUST LIKE THAT IN MMU!!!!!!!!!! But i got them her! How many do you have? I too didnt think soo.
Embu cheki chini hapo 1000 na ushee people viewing the thread. Hesabu na like za comments zangu za katikati. Afu cheki reponse overrall! Over 220 comments. Weka link hapa thread uliyoanzsha jukwaa lolote ikafika hata tucomment 100 tu!
Bila kusahau Reputation power chek kako na langu! Hahahaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
FACTS SHOW THAT MAJORITY ARE DIGGIN THIS SHIT!!!!!!!!! NUMBERS DONT LIE!
IWE MMU, ECONOMIC FORUM KOKOTE KULE MI NATISHAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! ALWAYS EXCELLING IN WHATEVER I DO!!!!!!!!!!!! CHEZEYA!!!!!!!!!!!!!!!!!! NACHEZA NAMBA ZOTE 11 UWANJANI! KIPA MIE, DEFENCE MIE, MID FILDER MIE, FOWARD MIE!!!!!! UTANIWEZEA WAPI?
Alicho Ongea huyu Dada ndo ukweli wenyewe mkuu, Na hata Serukali inafahamu kabisa madhara ya watu kujenfa nyumba kwa kutumia pesa zao wenyewe, ila sema tu imepiga kimya, Tafuta mchumi mzuri anaweza kukupa hayo madhara make wengine sisi unaweza sema tunakudanganya
Ruturn ya Nyumba inachukua miaka mingi sana, na dhat is why Ulaya watu hulipa Mikopo ya Nyumba mpaka wanakufa na wajukuu wanaendelea kulipa, na zipo nchi nyingi sana ambazo kisheria huruhusiwi kujenga nyumba kwa pesa yako wewe mwenyewe, ni lazima uchukue mkopo Benki na si uchukue mkopo then uende Madukani kuanz kununua Misumari na bati, no kuna kampuni zinajenga and then unauziwa,
ULISHA WAHI KUJULIZA KWA NINI MAREJESHO YA MKOPO WA NYUMBA HUCHUKUA MUDA MREFU SANA KULIKO AINA NYINGINE ZOTE ZA MIKOPO?
daisy umeniacha hoi kwa haya maneno yako!
"tatizo letu sehemu tunayohitajika kufikiri sisi huwa tunawaza. Mimi na concur na mawazo ya Lara1. Somewhere tuna problems ya kufikiri, nadhan ni lishe ya utotoni"
Mkuu daisy tofauti ya kuwaza na kufikiri ni nini mkuu? usije ukasema nimeanza kuleta theories, teh teh teh!!
Ndio naelekea kugraduate sista, Je mmi naweza niawa na fursa gani kiuchumi uanzia sasa maana nimepigika wei dada yangu, aau majuumu kibao.HAHAHAAAAAAA! We hoja huna! TOO THEORETICAL! Afu pi very pessimistic! I have my vivid example, mimi mwenyewe kila siku nawatafutia watu masoko, how more vivid can it get?
Anyways MAISHA NI YAKO CHAGUO NI LAKO!!!!!!!!!!! I said what i wanted to say!
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa Mimi na wewe ni independent events! Kufanikiwa kwangu au kushindwa hakukuaffect wewe chochote, na kufanikiwa kwako au kushindwa kwako hakuni affect chochote.
Kila mtu acheze karata zake. Fursa ni nyingi mnoooooooo!!!!!!!!!!!!