Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Kaka watu wengi wako mistaken sana, wakisikia Bill Gates droped out of college wanampigia mahesabu atakuwa mweupe.

Bill Gates, Warren Buffet, Michael Dell hawa watu ni nondo usisikie.

Wako so knowledgeable and they are great Minds, husimami nao hata dakika moja.

Business needs brains na kuwa smart kurun no shortcurt

umenena vema mkuu, shikamoo nakupa japo mm kaka yako!!!!
 
Kaka/dada sirghanam nadhani ni Mitazamo tu lakini sijuhi kwa nini labda unashindwa kumuelewa THECHANCE, Hoja aliyoiweka Lara1 nj applicable sana lakini ukiichambua kiundani ni hoja ama theory ambazo zinaweza kuwa applicable kwa baadhi ya nchi Tanzania ikiwa SI MIONGONI MWAZO,

Kwa nchi zilizoendelea suala la nyumba sio pasua kichwa kabisa na mtu unakuwa huna sababu ya kukimbilia kwenye nyumba, pia system za uchumi na Na uwezeshwaji wa kibiashara kupitia mabenki na financial instution zingine zipo open na zina fursa sawa kwa wote
kwa Tanzania hali sio hivyo kabisa, kwa Tanzania nyumba/Ardhi ni pasua kichwa, hebu chukulia mfano tu wa kariakoo ambako kiwanja kinafika mpaka bilioni moja, ni pesa ambazo kwa nchi kwa hiyo pesa unapata nyumba ya maana na wala sio kiwanja
Asilimia kubwa ya biashara zinazofanywa Tanzania sio halali, kwa maana kuna ukiukwaji mkubwa sana wa kulipa kodi, kwa biashara ya halali kabisa ni vigumu kurise to 300mil from 10mil unrest uingie kwenye dhuruma, illegal business au ukwepe kodi

nimeshindwa kuchagua sentensi ya kupigia mstari, maana kila sentensi imejitosheleza mkuu ikanibidi nipigie mstari comment yako nzima, ahsante sana mkuu......mkuu Kituko once you get a chance win that chance, hili nakuasa liwe mwongozo ako wa kila siku hapa tz, system ya kiuchumi hapa tz ipo very unbalanced!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii imetulia labda niweke na mimi langu la moyoni,,,
Nipo nje ya nchi kusini mwa africa nina mdogo wangu yeye yupo tz hapo Mbeya ni mwanafunzi wa form 4 kutokana kwamba tupo wawili tu! Huwa namtumia pesa, akaunti yake inasoma kama mil 12,, imekaa tu haina mzunguko wowote, nawaza kama nikija tz nifanye mradi gani pesa iendelee kuzalisha?
Sehemu yenyewe ni Mbeya je wadau mnanishauri vipi?
 
Nipe nikuwekee kwenye misitu ya miti ya mbao, ukija imepanda mara dufu.
 
Hapa ndo nimeanzisha MKURABITA humu JF,we fatilia tu series za post zangu jukwaa hili, nitakuletea Mambo Mazito ya Watz walioanzia 0, step by step na kufikia u billionea. Logical facts! Hakuna ndumba wala magendo. Stay tuned. Lazima tutokomeze umasikini! Tunaanza kutokomeza wa Fikra kwanza.

Sasa unaonaje tukianza na stori yako kwanza na sio ya hao wengine unaowaongelea?
Kuna vitu nakubaliana na wewe na kuna vitu napingana na wewe, Ni kweli Watanzania wengi wanahitaji ukombozi kiakili hasa kwenye swala zima la biashara, hiyo ni sababu kubwa inayofanya biashara Tanzania kua haitabiliki, leo inaweza ikaonekana nzuri, kesho unalala unaamka huna mteja hata moja.. Na ukifikiria idea kubwa saaaana usisahau Tanzania nayo ni nchi masikini, kwa hiyo kama utafikiria vitu ambavyo ni very expensive market yako lazima i-base kwa watu wenye hela, mfano huwezi ukaimport Buggati kumi bongo ukitegemea kuziuza zote kwa kulala na kuamka tu..
Umesema the higher the risk the bigger the profit, ni kweli na pia the higher the risk the greater probability of being very poor hii ni kwa case ya Tanzania, mtu anapoinvest kwenye kampuni kama Twiga, huyo obviously anajua anachofanya maana kampuni kama ile ni moja ambayo zinategemewa sana nchini kwa kua hazina competition, sasa nafasi kama hizo sio kwamba ni nyingi kiasi hicho, tunachohitaji nchini ni Competition, Competition ikiwa kubwa watu watapata vitu kwa bei ya chini, sasa ona watanzania wanavyofikiria, kila kitu cha bei ya chini kwao ni Mchina!! hata kama ni competition, ukitengeneza Cement ukauza 2000 utaambiwa hiyo inadumu miaka 2 hata kabla mtu hajaitest kwa sababu amekalili Twiga Cement tu.... Kuna kazi kubwa sana kufanyika kubadilisha akili za watanzania, baada ya hapo ndiyo hata uoga utapungua..
 
Hii imetulia labda niweke na mimi langu la moyoni,,,
Nipo nje ya nchi kusini mwa africa nina mdogo wangu yeye yupo tz hapo Mbeya ni mwanafunzi wa form 4 kutokana kwamba tupo wawili tu! Huwa namtumia pesa, akaunti yake inasoma kama mil 12,, imekaa tu haina mzunguko wowote, nawaza kama nikija tz nifanye mradi gani pesa iendelee kuzalisha?
Sehemu yenyewe ni Mbeya je wadau mnanishauri vipi?

akaunti yako au yake...LoL!!
 
nimeshindwa kuchagua sentensi ya kupigia mstari, maana kila sentensi imejitosheleza mkuu ikanibidi nipigie mstari comment yako nzima, ahsante sana mkuu......mkuu Kituko once you get a chance win that chance, hili nakuasa liwe mwongozo ako wa kila siku hapa tz, system ya kiuchumi hapa tz ipo very unbalanced!!!!!

Mkuu Tanzania ni nchi nyingine kabisa, ni nchi ambayo ina system za kipekee za kiuchumi, nimezungukazunguka kwenye nchi kadhaa na nimeshafanya biashara Bongo, na nilichokiona na ndio ukweli ni kuwa ukitaka kutoka bongo kwa biashara basi ni lazima ujitoe fahamu na lazima uwe mwenye roho ya chuma, ni kitu ambacho akiendani kabisa na theory za mtoa mada, sio kama nazipinga ni kitu cha kweli alichokiongea lakini sio kwa Bongo.
unatoka bongo unaenda kufunga contena la used engine Dubai ama Japan, unajua hesabu halali ya ushuru haizidi 10mil, wakati umeshapakia contena kwenye meli ghafla unapata ujumbe kwa waliokuwa bongo kuwa TRA wamepandisha ushuru na sasa ni 20m, sasa ushuru umepandishwa bila notice ya kutosha,
Acha kabisa hapo mzigo unauzia shaurimoyo kwenye kibanda cha less than 10x10 ambacho kodi iko si chini ya laki tano, sasa hili utoe mzigo bandarini na ufike dukani hapo lazima ujitoe fahamu, sasa biashara ganinya hivyo, hiyo 10m inapandaje na kuwa 300mil kwa biashara ya aina hiyo

Ushuru wa bidhaa Tanzania ni wa ku- bargain tu, unafungua contena mtu wa TRA anaangalia anakutajia ushuru bila vigezo vya maana, ilinutoe mzigo ndio hivyo tena lazima ujitie uchizi, sasa ni biashara ya aina gani hiyo?

hata mfano huo wa juice ya mtoa mada, hata kama juice imepimwa ilipotoka na ina viwango vyote lakini unapoileta Tanzania lazima uandae pesa ya kumpa mtu wa TFDA pamoja na TBS, sasa hiyo ni biashara kweli?

unaenda Bank kukopa na vigezo unavyo, lakini lazima ufanye deal na watu wa banki, sasa hapo kuna biashara kweli kama sio kijitoa fahamu na kijivika roho ya kutu
 
katika siku zoote leo umeongea.........
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza Ucommunist na sera za kizamani za utajiri ni kumiliki nyumba na gari.

Sikatai nyumba ni a very valuable asset, na ina appreciate in value with time lakini this is not necessarily the case always. Appreciation na returns za hio nyumba zinaweza zisiwe reasonable enough kujustfy wewe kufkia 40Mills au 30Mills leo hii. Hio initial investment inaweza kuchukua hata 20yrs kujirudisha tu bila kujilipa. Imagine hio 40Mills ungewekeza kwenye opportunity zingine zenye large returns, na kuhakikisha unachukua calculated risk in 20yrs si unweza kujikuta una 400Mills na mijumba ya kumwaga!

Sio kwamba wa tz wengi hatushiki mbesa, no! tunashika sanaaa sema priority ndo zinatuangusha haswaa waajiriwa wa white collar jobs. Ile breakthrough ya msomi kutoka maisha ya kawaida na kuwa mwekezaji anae ajiri watu asilimia kubwa hawaifikiii. Mtu akishika tupesa tudogo anakimbilia kutuzika mashambani huko!

Vijana wenzangu unashika tu 10mills unawahi kutuzika Mbagara kiburugwa sijui huko au Mbezi maramba mangapi sijui. Unaongezea kuzika mamilioni hadi yafike hata 50 in 4 yrs hadi umalize jumba hilo. Kisha kodi unapoke 100,000/= in 10 to 20 years haiendi mbali na hapo. Watu waliojenga Tabata in 1990's nyumba mpaka leo Tbt ni 200,000 kwa mwezi?????

Tubadilike tuwe capitalistic. Ukishika 10m ujipange izungushe ushike 50m. It all about opportunity and risk taking this is the only key kuwa billionea. Ruge keshasema fursa ziko nyingi mnoooo! Tabia ya kuzika tuiache. Nyumba ziko kibao Sinza, Masaki, Obay, Knyma kwanini uende porini? Hio 10Mills izungushe hadi ifike 300Mills ununue nyumba ya uhakika Kinondoni. This is the bigger picture!

Thanks you all!
 
Mkuu Tanzania ni nchi nyingine kabisa, ni nchi ambayo ina system za kipekee za kiuchumi, nimezungukazunguka kwenye nchi kadhaa na nimeshafanya biashara Bongo, na nilichokiona na ndio ukweli ni kuwa ukitaka kutoka bongo kwa biashara basi ni lazima ujitoe fahamu na lazima uwe mwenye roho ya chuma, ni kitu ambacho akiendani kabisa na theory za mtoa mada, sio kama nazipinga ni kitu cha kweli alichokiongea lakini sio kwa Bongo.
unatoka bongo unaenda kufunga contena la used engine Dubai ama Japan, unajua hesabu halali ya ushuru haizidi 10mil, wakati umeshapakia contena kwenye meli ghafla unapata ujumbe kwa waliokuwa bongo kuwa TRA wamepandisha ushuru na sasa ni 20m, sasa ushuru umepandishwa bila notice ya kutosha,
Acha kabisa hapo mzigo unauzia shaurimoyo kwenye kibanda cha less than 10x10 ambacho kodi iko si chini ya laki tano, sasa hili utoe mzigo bandarini na ufike dukani hapo lazima ujitoe fahamu, sasa biashara ganinya hivyo, hiyo 10m inapandaje na kuwa 300mil kwa biashara ya aina hiyo

Ushuru wa bidhaa Tanzania ni wa ku- bargain tu, unafungua contena mtu wa TRA anaangalia anakutajia ushuru bila vigezo vya maana, ilinutoe mzigo ndio hivyo tena lazima ujitie uchizi, sasa ni biashara ya aina gani hiyo?

hata mfano huo wa juice ya mtoa mada, hata kama juice imepimwa ilipotoka na ina viwango vyote lakini unapoileta Tanzania lazima uandae pesa ya kumpa mtu wa TFDA pamoja na TBS, sasa hiyo ni biashara kweli?

unaenda Bank kukopa na vigezo unavyo, lakini lazima ufanye deal na watu wa banki, sasa hapo kuna biashara kweli kama sio kijitoa fahamu na kijivika roho ya kutu

MUHESHIMIWA KITUKO NIMEKUSOMA NA NIMEKUELEWA.... UNACHOZUNGUMZA NI KITU AMBACHO KILITAKA KINIRUDISHE NJE TENA BAADA YA KUAMUA KUJA KUFANYA BIASHARA TZ.. Ila hii mimi sitaki kuitumia kama excuse.. kuna watu wanafanikiwa katika mazingira hayo... INGIA... SOMA RAMANI/MCHEZO.. THEN CHEZA KAMA WAO.. ukishi roma ishi kama waroma...
 
Niliwahi kusafirisha mbuzi toka Pombwe kisiwani mpaka Dar, mbuzi mmoja nilinunua Tsh 30,000/,kuna kulipia ushuru wa wilaya kila mbuzi Tsh 1000/, nauli ya mbuzi Tsh 4000/ na posho yangu pamoja na nauli, mbuzi alifika Dar kwa Tsh 40,000/ na nilikuwa na mbuzi 40, kwa hiyo nilitumia Tsh 1,600,000/ mpaka mbuzi anafika kwa mteja wangu. Mteja alichukua kwa Tsh 45,000/ jumla. Kazi hii ilikuwa inachukua siku mbili. Faida yake cash ikawa 5000 x 40 kila trip. Kwa week nilikuwa napiga trip mbili tu. Kwa hiyo kilia week nikawa nakusanya Tsh 400,000/ na kwa hiyo kwa mwezi nilifikisha 1,600,000/.

Sasa kama ningekuwa na 10M ningekuwa na uweza wa kuleta lorry/fuso zima la mbuzi toka Dodoma.

Kwa kuwa hukunipa time frame ya kuizungusha hiyo hela, umeona vile nilivyozungusha hiyo hela ambayo haikuwa hata 5M. Hii bz nimefanya mwenyewe na pengine huko mbele nikawa na ranch ya mbuzi kabisa.

mkuu na gharama za kuuhifadhi mzigo(mbuzi) kabla hawajanunuliwa je??
una mabanda?lol
au una wateja tayari ni kiasi cha kudeliver?kusambaza wakishafika dar
 
MUHESHIMIWA KITUKO NIMEKUSOMA NA NIMEKUELEWA.... UNACHOZUNGUMZA NI KITU AMBACHO KILITAKA KINIRUDISHE NJE TENA BAADA YA KUAMUA KUJA KUFANYA BIASHARA TZ.. Ila hii mimi sitaki kuitumia kama excuse.. kuna watu wanafanikiwa katika mazingira hayo... INGIA... SOMA RAMANI/MCHEZO.. THEN CHEZA KAMA WAO.. ukishi roma ishi kama waroma...

Kaka kwa biashara mara nyingi lazima ufanye risk, lakini kwa biashara ya Tanzania risks zinadouble, serikali makini inapokuja madarakani, biashara zile zote za magumashi zinakufa, mfano halisi ni lile anguko lililowakumba wafanyabiashara hizo za kuungaunga wakati Mkapa anampokea Mwinyi, Huyo dada aliyezaliwa kinondoni sijuhi kama anamkumbuka Juma ngida ama Abdul msomali pale maeneo ya kwa Manyanya/ now Casablanca

Mkuu wala sikukatishi tamaa ila unapokuja kufanya biashara Tanzania lazima uwe mtu wa risk mara mbili, huwezi amini serikali ya Tanzania haina kumbukumbu rasmi ya matajili wote na kipato wanachomiliki, kwa maana nyingine serikali haijuhi mzunguko wake wa pesa, sasa anapokuja raisi kama alivyokuwa Mkapa kwenye kucontrol mzunguko ndio balaa linapoonekana
 
mkuu na gharama za kuuhifadhi mzigo(mbuzi) kabla hawajanunuliwa je??
una mabanda?lol
au una wateja tayari ni kiasi cha kudeliver?kusambaza wakishafika dar

Dada hizo ndio biashara zetu Tanzania, hakuna insurance, hakuna registration hakuna nini ni full risk mwanzo mwisho,
hao mbuzi kuna dalali wanakukusanyia, then wewe unakuwa ni mwendo wa kuonga kuanzia ulipowatoa mbuzi mpaka wanafika sokoni, mara mtu wa Vet/bwana mifugo, mara trafiki, mara nini sijuhi, na bahati mbaya gari ikianguka ndio 10m imekwenda na ndogo ya kufikia 300m inayeyuka, yaani ni full risk
 
mkuu na gharama za kuuhifadhi mzigo(mbuzi) kabla hawajanunuliwa je??
una mabanda?lol
au una wateja tayari ni kiasi cha kudeliver?kusambaza wakishafika dar

Dada hizo ndio biashara zetu Tanzania, hakuna insurance, hakuna registration hakuna nini ni full risk mwanzo mwisho,
hao mbuzi kuna dalali wanakukusanyia, then wewe unakuwa ni mwendo wa kuonga kuanzia ulipowatoa mbuzi mpaka wanafika sokoni, mara mtu wa Vet/bwana mifugo, mara trafiki, mara nini sijuhi, na bahati mbaya gari ikianguka ndio 10m imekwenda na ndoto ya kufikia 300m inayeyuka, yaani ni full risk
 
Hahahaaaaaaa! Pale kariakoo wapemba wanashusha mighorofa kama mchicha, Watu tumebakia hela za dawa, hela za dawa! Ndo tutabakia hivo hivo!!!!!!!! Wenzetu wanasonga sie tumejipumzisha na kujiweka standby kukosoa na kumkatisha tamaa yeyote anayeangalia THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!
Unakoelekea lazima siku moja uwe mkwepa kodi wewe
 
Hahahaaaaaaa! Being a little political is a challenge, bt being too political is sensitive. Mi sikatai, nikiwa makzi wa mda mrefu wa Mahakama kuu ya sembe Tz i know what making quick money is!

Lakini kinachotakiwa ni Mtu kujiangalia binafis unasimama wapi? Haupo kwenye circuit ya kusupply steam, haupo TRA, so what? Ukae na kulaumu nchi inaliwa? Au ujitume kutafuta chako kidogo!

Yeye kuiba kodi hakukuzuii wewe kuanzisha mradi wako!!!!!!!!!!!!

EVERYBODY FOR HIMSELF GOD FOR US ALL!!!!!!!!!!

LAZIMA WEWE Lara 1 siku moja utakuwa mwizi wa kodi ya serikali,,, tupinge???? Na mwizi hataenda mbinguni
 
hahahaaaaaaaaaa! thechance et al! Najua huwezi pata umaarufu bila kuchukua cheap publicity kwenye hii thread. Mwenzio nina mathread kibaooooooo, yamebamba na yataendelea kubamba! Sina ukame. Nimekupa facts za likes, comments, view na kadhalika! Umeisoma kimya kimya!!!!!!

Huna hadhi ya kuniambia chochote wewe and there is nothin you can do about it! Humu naandika nachotaka na nachojisikia! Hukipendi usisome thread! Ukisoma utajiju! I assure you forever ill do what pleases me and never unachoshauri ama kusema! Mimi ndo mimi! Roger that!!!!!!!

Mimi siangalii unasema nini but nani anasema! So bad hauko rank ya mimi kukusikiliza, so acha kutoa maelekezo! Unajisumbua.

Who i am depends on who you are!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hiki tunakiita kiburi, hufai kuwa kiongozi wewe, atakayekuoa ana taaaabu!!!!
 
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza ucommunist na sera za kizamani za utajiri ni kumiliki nyumba na gari.

Sikatai nyumba ni a very valuable asset, na ina appreciate in value with time lakini this is not necessarily the case always. Appreciation na returns za hio nyumba zinaweza zisiwe reasonable enough kujustfy wewe kufkia 40mills au 30mills leo hii. Hio initial investment inaweza kuchukua hata 20yrs kujirudisha tu bila kujilipa. Imagine hio 40mills ungewekeza kwenye opportunity zingine zenye large returns, na kuhakikisha unachukua calculated risk in 20yrs si unweza kujikuta una 400mills na mijumba ya kumwaga!

Sio kwamba wa tz wengi hatushiki mbesa, no! Tunashika sanaaa sema priority ndo zinatuangusha haswaa waajiriwa wa white collar jobs. Ile breakthrough ya msomi kutoka maisha ya kawaida na kuwa mwekezaji anae ajiri watu asilimia kubwa hawaifikiii. Mtu akishika tupesa tudogo anakimbilia kutuzika mashambani huko!

Vijana wenzangu unashika tu 10mills unawahi kutuzika mbagara kiburugwa sijui huko au mbezi maramba mangapi sijui. Unaongezea kuzika mamilioni hadi yafike hata 50 in 4 yrs hadi umalize jumba hilo. Kisha kodi unapoke 100,000/= in 10 to 20 years haiendi mbali na hapo. Watu waliojenga tabata in 1990's nyumba mpaka leo tbt ni 200,000 kwa mwezi?????

Tubadilike tuwe capitalistic. Ukishika 10m ujipange izungushe ushike 50m. It all about opportunity and risk taking this is the only key kuwa billionea. Ruge keshasema fursa ziko nyingi mnoooo! Tabia ya kuzika tuiache. Nyumba ziko kibao sinza, masaki, obay, knyma kwanini uende porini? Hio 10mills izungushe hadi ifike 300mills ununue nyumba ya uhakika kinondoni. This is the bigger picture!

Thanks you all!
nitajie tajiri mwanamke kati ya wale mia wa tanzania
 
Back
Top Bottom