Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Ficha uweupe wako wewe, biashara sio mapenzi, unazungumzia petty trading watu tunazungumzia business, deals, economy, cha ajabu sijaona hata terminology moja ya kiuchumi ulioandika kwa minajili ya kujenga na kutetea hoja halafu unaanza kutokwa mapofu????

wenzio tunaingiaga kwenye interview tunapambana wenyewe hatubebwi naona wewe ni aina ya wale wanaobebwa, puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu .......................... nenda MMU haraka iwezekanavyo unachelewa huku hukidhi viwango, huku ni heavy weight IQ tu bhassssssssssssssssssss!!!!!

HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! IQ ndo hii yako? Bora nibaki mjinga! BE A MAN STOP WHINING LIKE A CRY BABY! I DARED YOU! I PURPOSELY DISRESPECTED YOU!!!!!!! YOU ARE A MAN RIGHT? WONT YOU DO SOMETHIN ABOU IT? EARN YOUR RESPECT ATLEAST FOR YOUR MAN HOOD!

Opppppppppppppsssssssssss I forgot our crybaby of man CANT DO SHIT ABOUT SHIT!!!!!!!!!!

There is nothin i enjoy like WALKIN ALL OVER A MAN! SO CALLED EDUCATED MAN!!!!!!!! I bet you live ningekuchapa mabao na ungerudi nyuma!

Go back to your Mama CRY BABY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Lara 1 achama na wazushi hao, ebu tuendelee na somo letu.
Sawa hatukatai criticism, ila naona uyu jamaa "THECHANCE anaanza kuleta personal issues ambazo hazina tija hapa.
 
KAMA WEWE MWANAUME KWELI I DARE YOU MAKE ME DO AS YOU REQUEST!!!!!!!!!!!! Kama huo uwezo unao! Maisha yakoooooooooooo!!!!!!!!!!!!!

Kama huna la kufanya juu ya KUBWA LA MAADUI i sugest you take a seat at the back, coz MIMI NISHAKWMBIA NAFANYA NALOJISIKIA NA UWEZO WA KUNIZUIA HUNA NA MAISHA YAKOO HUTOKUWA NAO!!!!!!!! Unajiabisha tu hapa MTOTO WA KIUME kukuchamba hivi mbele za wanaume wenzio sio staha ila if you keep askin for it ill keep givin it to you! Nitakuvalisha mpaka khanga na wigi ukitaka

Narudia WHO I AM DEPENDS ON WHO YOU ARE!!!!!!!!!!!!!!!!

GOODBYE lara 1 NAJISHUSHIA HADHI YANGU KUENDELEA KUJIBIZANA KIMIPASHO ....... SIO HULKA YANGU MAANA SIJAZOEA!!!!!!

kila la kheri na mtazamo wako ...... ukipata 10ml zungusha usijenge, usinunue kiwanja utapata 300mln, sawa eeehhh umeridhika sasa, maana naona unatokwa mapovu as if nimekuzuia kufanya unachotaka!!!!

Again goodbye!!!!
 
Last edited by a moderator:
I think hii thread imeonyesha kwanini wasomi au watu wanaofuata vitabu hawafanyi biashara na watu walioshia darasa la saba wanamaghorofa mjini na wanafanikiwa kibiashara .........watu wamemwaga theories humu kibao ....lakini research ndogo tu ya wafanyabiashara waliofanikiwa duniani wengi hawajasoma ...

Dude thanks a lot kwa mchango wako! Usije kumjibu shosti wangu hapo chini! Yaani ukishaona Mwanaume mzima na akili zake anachambana na mwanamke hazarani kama hapa jamvini tena mchana kweupe jua akili zake haziko sawa kabisaaaa!

Usikubali akuhamishie aibu yake! Watu hawatokuelewa kabisaaaa! RUN BOY! RUN!
 
Mule mule kibaba....mtu mwenye mafanikio ya kutisha utamjua tu by the way he/she defends his points/converstions, the way of life, things he/she does, and the way of talking. 95% of successful people are the most humble people in this planet. kwani kuongea na madon wa kkoo kitu gani ?? Mbna mimi baba yangu anapiga zogo na mkuu wa kaya almost everyday, cabinet nzima ya ministers anawafaham fika. Siongei, watu tumekaa kimyaa. Mi nafkiri ni ulimbukeni tu. Successful people have a talent that most people lack. "They are good listeners and accept criticism with both hands." Hii thread imejaa mipasho sanaaaa, nimebaki nasoma comments za watu tu.

True naona sasa hv imekuwa mipasho badala ya kuelimishana aisee...me ngojea nisome tu comments
 
GOODBYE lara 1 NAJISHUSHIA HADHI YANGU KUENDELEA KUJIBIZANA KIMIPASHO ....... SIO HULKA YANGU MAANA SIJAZOEA!!!!!!

kila la kheri na mtazamo wako ...... ukipata 10ml zungusha usijenge, usinunue kiwanja utapata 300mln, sawa eeehhh umeridhika sasa, maana naona unatokwa mapovu as if nimekuzuia kufanya unachotaka!!!!

Again goodbye!!!!

HAHAAAAAAAAAAAAAAAA! USTHIKIMBIE WEWE! YOU ASKED FOR IT! TOLD YA NACHEZA NAMBA ZOTE! Corporate, Uswazi, civilizied! like i told you WHO I AM HIGLY DEPENDS ON WHO YOU ARE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa hujishangai watu wote wewe tu ndo nimekuchamba ukachambika???????? Hahaaaaaaaaaaaa!

Wewe huwezi kunipepesesha kope ya jicho langu itakuwa povu! HAHAHAAAAAAA! Usichekeshe walionuna! I DARED YOU LIVE BILA CHENGA! Naona umeona huna la kufanya na kuamua ku Exit mchuano kwa style ya KUJIVICTIMISE!!!!!!!!! Ungejua ustaarabu mali usingenianza! Jiangalie!
 
  • Thanks
Reactions: mzm
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Watanzania wengi haswaaa vijana wa sasa na vijana wa zamani wengi watakufa maskini ama kuzeeka maskini kwa kuendekeza Ucommunist na sera za kizamani za utajiri ni kumiliki nyumba na gari.

Sikatai nyumba ni a very valuable asset, na ina appreciate in value with time lakini this is not necessarily the case always. Appreciation na returns za hio nyumba zinaweza zisiwe reasonable enough kujustfy wewe kufkia 40Mills au 30Mills leo hii. Hio initial investment inaweza kuchukua hata 20yrs kujirudisha tu bila kujilipa. Imagine hio 40Mills ungewekeza kwenye opportunity zingine zenye large returns, na kuhakikisha unachukua calculated risk in 20yrs si unweza kujikuta una 400Mills na mijumba ya kumwaga!

Sio kwamba wa tz wengi hatushiki mbesa, no! tunashika sanaaa sema priority ndo zinatuangusha haswaa waajiriwa wa white collar jobs. Ile breakthrough ya msomi kutoka maisha ya kawaida na kuwa mwekezaji anae ajiri watu asilimia kubwa hawaifikiii. Mtu akishika tupesa tudogo anakimbilia kutuzika mashambani huko!

Vijana wenzangu unashika tu 10mills unawahi kutuzika Mbagara kiburugwa sijui huko au Mbezi maramba mangapi sijui. Unaongezea kuzika mamilioni hadi yafike hata 50 in 4 yrs hadi umalize jumba hilo. Kisha kodi unapoke 100,000/= in 10 to 20 years haiendi mbali na hapo. Watu waliojenga Tabata in 1990's nyumba mpaka leo Tbt ni 200,000 kwa mwezi?????

Tubadilike tuwe capitalistic. Ukishika 10m ujipange izungushe ushike 50m. It all about opportunity and risk taking this is the only key kuwa billionea. Ruge keshasema fursa ziko nyingi mnoooo! Tabia ya kuzika tuiache. Nyumba ziko kibao Sinza, Masaki, Obay, Knyma kwanini uende porini? Hio 10Mills izungushe hadi ifike 300Mills ununue nyumba ya uhakika Kinondoni. This is the bigger picture!

Thanks you all!

Kama ulizaliwa jijini Dar Es salaam kati ya mwaka 1985 -1988, basi hapana shakautakuwa ni mtoto wa nje wa baba yangu mzazi, coz kipindi hicho alikuwa pale ud anasotea degree yake. Haiwezekani mtoto wa kike ambaye sio mbegu ya baba yangu mzazi awe na mawazo yaliyo kwenda shule kama yako...Nimefurahi sana.
 
"Lara 1 achama na wazushi hao, ebu tuendelee na somo letu.
Sawa hatukatai criticism, ila naona uyu jamaa "THECHANCE anaanza kuleta personal issues ambazo hazina tija hapa.

NISAMENENI KWA MUDA WADAU!!!!!!!!!!1 Ujue kuna watu bila kuwa displini watakushika hata sehemu zisizotakiwa! Sasa ukinyamaza wanaona kama unawaogopa kumbe umeignore, wakindelea nawapa kinachowawasha afu wanatulizana kwa adabu! Hali inakuwa shwari tena kuendlea! Akija namnyoosha na kumgalagaza tena! Mtoto mdogo hawezi kutusmbua na kutukata stimu watu wote.

Samahanini kwa usmbufu na kero yoyote iliyojitokeza. Turudi kwenye Mkurabita!!!!!!!!!!
 
Kama ulizaliwa jijini Dar Es salaam kati ya mwaka 1985 -1988, basi hapana shakautakuwa ni mtoto wa nje wa baba yangu mzazi, coz kipindi hicho alikuwa pale ud anasotea degree yake. Haiwezekani mtoto wa kike ambaye sio mbegu ya baba yangu mzazi awe na mawazo yaliyo kwenda shule kama yako...Nimefurahi sana.

HAHAAAAAAAAAAAAAA! Taratibu dingi yangu asisikie! Hali haitokuwa shwari!
 
THECHANCE SIHITAJI KUWA NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI KUONA TOFAUTI KUBWA KATI YAKO NA LARA1.. wewe ni muhadhirika mkubwa wa elimu ya kukariri vitabu kama unayoandika unamaanisha otherwise labd iwe kwa sababu ya kuongeza utamu kwenye mada hii..
Ninapata shida sana kwa vijana waliomaliza chuo kikuu cha kilimo kwenda kuwa bank teller au customer care kwenye makampuni ya simu..
NA WENGI WANAOFIKIRIA MAISHA YA KIMASKINI( nijenge nyumba na niwe na usafiri) WANAONGOZA KWA KULAUMU SERIKALI WAKATI WATU WENGINE KWENYE HAYO HAYO MAZINGIRA WANA MAKE..
elimu ya darasani itusaide na isiwe nira ya kutufunga na kutuogopesha kufanya mambo


dont make generalization mkuu ........ mengi kasoma, rostam azizi kasoma, biashra ya bakheresa ipo mikononi mwa wasomi kadhaa, na wengine kibao tu!!!
biashara ni hulka flani hv ........ bill gate nasikia aliacha shule, steve jobs hali kadhalika, warren buffte alikataa shule kwa miaka miwili anadai anajua zaidi ya maprofessor wake ...... haya mambo ya biashara ni damu ya mtu na mtazamo wake peke yake!!!!!
 
Ni kweli kabisa ulichokisema. Watz wengi tunakimbilia Liability badala ya kuinvest ktk asset zinazoweza kuzalisha. For more detail namna ya kuinvest pitia kitabu cha Robert Kiyosaki "Rich Dad Poor Dad"
huyu Kiyosaki nasikia keshafilisika
 
Lara 1 nimekuwa sikubaliani na posts zako nyingi hasa zinazohusu mapenzi na kuonekana zinatetea immorality..!!!.
Ila post yako hii imenikuna sana. Unayosema ni kweli kabisa na mimi binafsi tangia mwaka huu nimekuwa nikitafari the most sensible way of investing my savings (and even loans) na nimekuwa na uelekeo kama wako. It is a very smart idea not to build a house out of one's savings instead of profits. The simpe reason is you may never be able to recover money you sink into your house (through renting out) within one's average lifetime. A house is a very long term investment and you cannot expect to live off a 300,000 a month rent once you retire!!.
The best way is to invest your savings into a well researched business enterprise, and use your profits to build slowly while expanding and diversifying your business.
It is pathetic you hear people clinging to 'white color' employment which puts a cap to how much you can/will earn during your lifetime. Come on Tanzanias, if you real want financial independence and success, that will not come by being employed somewhere..employment should be used to get the necessary initial capital but the aim should be private enterprise.
Watanzania tukibaki na mawazo mgando wa kijamaa wa 'mfanyakazi' tutabaki tunalalamika maisha magumu while foreigners are coming in, and grabbing all the oportunities..

Tutafakari... BIG up LARA 1...I think this is one of the most productive threads..
 
hahaaaaaaaaaaa! Sasa coz biahsara ina mambo mengi basi ndo uikwepe? Kwa mantiki hio hata shule mtu hutosoma coz kuna mambo mengi ya kufaulu ama kufeli.

Ujue mimi mwenzio mishemishe zangi ni kkooo na kitumbini daily! So maybe nimezoea kuona watu wanakuja na 10m na kumwaga razi ndani ya mda mfupi.

Sikatai wengine wanaanguka ila kuanguka ndo kujifunza unasimama tena na tena. Yaani ungemuona zakaria pesa anayoingiza pale kitumbini ungelia machozi!!!!!!!!!!! Hana shule kivile wala nini.

Plus hivo vitabu vyote na zaidi kina kotler, shapiro, vote nimesoma. Nimemajor in investments management.
zakaria halipi kodi kama inavyopasa, kwanza tin yake iko zanzibar.
 
Ukipewa 10m utafanya biashara gani ifike 100m? Tupe mfano halisi

Biashara mara nyingi inategemea eneo ulipo. 10m uki invest kwenye kilimo cha mpunga msimu mmoja una ukafanya forward intergration utapata faida ya 25m per year. So, location is extremely important in the world of business investment. Uki reinvest hiyo 25m plus ur original invested capital, msimu unaofata utakuwa na 100m. Just 2 to 3 yrs 10m can turn into 100m. Just be real and serious. Bt remember "do or dont do, there is no opportunity to try". If u try, u may end up geting loss
 
Hapa ndo nimeanzisha MKURABITA humu JF,we fatilia tu series za post zangu jukwaa hili, nitakuletea Mambo Mazito ya Watz walioanzia 0, step by step na kufikia u billionea. Logical facts! Hakuna ndumba wala magendo. Stay tuned. Lazima tutokomeze umasikini! Tunaanza kutokomeza wa Fikra kwanza.
Igweeeeee.!!!
Tupe hizo link za posts zako tuchimbue hayà mapesa tukapandikize yazaane kwenye bizness..mwaga mwaga hayo mambo tuyazoe kina sie wenyye uchu wa kuzungusha mahela..
 
THECHANCE SIHITAJI KUWA NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI KUONA TOFAUTI KUBWA KATI YAKO NA LARA1.. wewe ni muhadhirika mkubwa wa elimu ya kukariri vitabu kama unayoandika unamaanisha otherwise labd iwe kwa sababu ya kuongeza utamu kwenye mada hii..
Ninapata shida sana kwa vijana waliomaliza chuo kikuu cha kilimo kwenda kuwa bank teller au customer care kwenye makampuni ya simu..
NA WENGI WANAOFIKIRIA MAISHA YA KIMASKINI( nijenge nyumba na niwe na usafiri) WANAONGOZA KWA KULAUMU SERIKALI WAKATI WATU WENGINE KWENYE HAYO HAYO MAZINGIRA WANA MAKE..
elimu ya darasani itusaide na isiwe nira ya kutufunga na kutuogopesha kufanya mambo

Kaka/dada sirghanam nadhani ni Mitazamo tu lakini sijuhi kwa nini labda unashindwa kumuelewa THECHANCE, Hoja aliyoiweka Lara1 nj applicable sana lakini ukiichambua kiundani ni hoja ama theory ambazo zinaweza kuwa applicable kwa baadhi ya nchi Tanzania ikiwa SI MIONGONI MWAZO,

Kwa nchi zilizoendelea suala la nyumba sio pasua kichwa kabisa na mtu unakuwa huna sababu ya kukimbilia kwenye nyumba, pia system za uchumi na Na uwezeshwaji wa kibiashara kupitia mabenki na financial instution zingine zipo open na zina fursa sawa kwa wote
kwa Tanzania hali sio hivyo kabisa, kwa Tanzania nyumba/Ardhi ni pasua kichwa, hebu chukulia mfano tu wa kariakoo ambako kiwanja kinafika mpaka bilioni moja, ni pesa ambazo kwa nchi kwa hiyo pesa unapata nyumba ya maana na wala sio kiwanja
Asilimia kubwa ya biashara zinazofanywa Tanzania sio halali, kwa maana kuna ukiukwaji mkubwa sana wa kulipa kodi, kwa biashara ya halali kabisa ni vigumu kurise to 300mil from 10mil unrest uingie kwenye dhuruma, illegal business au ukwepe kodi
 
Last edited by a moderator:
Umesema kitu ya kweli kabisa... kuna rafiki yangu mmoja namnukuu "kujenga ni uoga wa maisha" nyumba ziko kibao..zungusha fedha kwanza....the uwekeze huko...

wengi wanakimbialia kujenga,, halafu kumalizia zinawashinda kabisa....
 
dont make generalization mkuu ........ mengi kasoma, rostam azizi kasoma, biashra ya bakheresa ipo mikononi mwa wasomi kadhaa, na wengine kibao tu!!!
biashara ni hulka flani hv ........ bill gate nasikia aliacha shule, steve jobs hali kadhalika, warren buffte alikataa shule kwa miaka miwili anadai anajua zaidi ya maprofessor wake ...... haya mambo ya biashara ni damu ya mtu na mtazamo wake peke yake!!!!!

Kaka watu wengi wako mistaken sana, wakisikia Bill Gates droped out of college wanampigia mahesabu atakuwa mweupe.

Bill Gates, Warren Buffet, Michael Dell hawa watu ni nondo usisikie.

Wako so knowledgeable and they are great Minds, husimami nao hata dakika moja.

Business needs brains na kuwa smart kurun no shortcurt
 
Watgu wa real estate wangetusaidia mawazo hapa ingekuwa poa.
 
Back
Top Bottom