Wa Tz Tutakufa Maskini Kwa Kimbilia Kuchimbia Pesa (Kujenga) Badala ya Kuizungusha Izae Zaidi

Achana nae huyo! Wote tukiwa matajiri nani atakuwa shamba boi wetu? Maisha ndo yalivo lazima kuwe na wafalme na watumwa! Unchagua tu mwenyewe mimi bana utumwa utanifaa kama huyo mdau, au mimi bila ufalume dunia itakuwa haitoshi hii wala haikaliki.

....nilipo underline sikuungi mkono, biblia yetu inatuambia "heshima na utajiri ipo mikononi mwake bwana"

Soma maandiko katika kitabu cha "mahubiri", dunia inaendesha na imani lara 1 utake usitake!!!!!!

JIULIZE WAZUNGU WANATUSHINDA NINI SISI WEUSI WAAFRIKA?
wao ndio walipaswa kuwa omba omba na sio sisi watu weusi ....... think out think lara 1!!!
 
Last edited by a moderator:
Mi nakaa kwenye free house,, mzee wangu alikuwa na mawazo kama hayo tunayoyapinga akajenga nyumba kibao mjini na kabla hajarudisha hela zake Mungu akamchukua.. Tunaofaidi ndio sisi kizazi chake...

Copy: lara 1 unajua mwisho wa hela ni nini?

Kaa na matajiri wakubwa wakuambie lara 1 ni vitu viwili tu ....... ambavyo daima zina appreciate no matter how economic unstability is, navyo ni nyumba na ardhi!!!!! take that lesson from me!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Life is not only accumulation of big amount of money, it is also wisely use of small amount you get. Siwezi shikilia 10M nikiangaika kutafuta 300M wakati wanangu wanapata shida ya malazi na usafiri. You must balance bro. Kuna watu waliishi kijasiriamali mno wakasahau family care sasa wanajuta. Let money serve us and not the opposite.
 

Mada ya lara 1 haiwezi kufanya kazi katika economic sytem ya kibongo ........ watu wengi hawafuatilii indicators za kiuchumi thus why unaweza kumsapoti lara 1 kirahisi rahisi sana ....... unajua nchi kubwa km marekani kwa mfano, uafnisi wa kiongozi wa nchi ni uchumi kitu ambacho kwetu hakipo!!!!
 
Last edited by a moderator:
lara 1 leo kwa mara yA pili umenigusa tena.
 
Last edited by a moderator:
Its very good to look in a big picture because most successful persons were in this position sometimes in their past histories. Lakini Ukiamua kuinvest unahitaji kuzingatia mambo mengi sana. Kuwa na capital peke yake haitoshi kusema ntafanikiwa. Business environment is very complex and dynamic.....you can only get success if you cope with that complexity and move along with the dynamics at proportional pace.
 
haya mawazo ya lara 1 ni sawa na mtu aliyepiga pesa za madawa au 10% alafu unakuja na kujifanya mwekezaji. Wasiojua amepataje pesa ndio utasikia wanasema "Mwenyezi Mungu kamjalia bwana", "kila mtu na Bahati yake" lakini huwezi kuwa na consistence mbali na kupotosha wengi wetu wenye nia ya kweli ya biashara.
Mafanikio ya kibiashara yanategemea sana mazingira yaliyowekwa na mamlaka/utawala wa eneo husika ili kuepuka ile hali ya kumkuta kijana amebeba shati mtaani alafu ukimuuliza 'occupation' yake anakwambia 'mfanyabiashara' na ndoto nyingi kama zile za 'bakhresa alianza na kushoina viatu'. Isike ikawa lara 1 amehudhuria kakozi kamoja tu ka ujasiliamali alafu anakuja hapa kutupotosha kwa mtazamo wake kuwa hili lidunia lote lilivyo kubwa na watu wengi hivi ni Kinondoni tu mtu anaweza kufanikiwa na kumake fortune!

 
We, on my opinion better have ya oun house, dont relay on one side alone, rooms for rent so expensive thise days, people with family, is worse, utalala na kids wako in one room. Pia ukiculculate hiyo kodi for 5years utakuwa umemjengea huyo mtu nyumba. Mateso ya kupanga pia huja-yainvolve, u cant make budget za maji na umeme kwenye rent house, huwezi ishi upendavyo, no way Watu jengeni nyumba ila magari na vitu visivyo na ulazima acheni, acheni utoz, bia, simu kali tv kali na vingine vya staili hizo, not a house,
 
asilimia kubwa ya watz hawaipati iyo 10m unayoisema kwa mkupuo nakujengea nyumba bali hujenga nyumba taratibu na huchukua muda mrefu mpaka nyumba hizo kuisha.nyumba inanafasi yake katika maendeleo hata izo biashara unazosema hazito-run smoothly kama hautokuwa na mjengo wako.
 
Thank you Lara!!
Huu ndo unoitwa uoga, uoga wa maisha tulionao waTZ wengi...... Pesa tunazitafuta, tunazipata, zinatutumikisha badala ya zitutumikie kisa tu uoga wa maisha!!
 
Some devlpd country, serikali zao zimejenga appartment kubwa na nyingi ukilinganisha na idadi ya watu, so so cheep to higher kinda house u want cheeply. But on our case the thing is ----ing opposite, no such stuff. Build house, richness is nothing out of no good living. The value of money is not to have or count it, it is to use it solve ya genuine needs. What if u have lots of money, ur family is suffering a house, u'l die with ur bussiness with no house.
 


Mawazo yako mazuri sana, lakini karibu site kwenye uhalisia halisi. Me nitakupokea kwa mikono miwili na ubongo wangu ote.
 

Mungu unamsingizia tu. Hajasema wewe ulale hadi saa 3 wakati wenzio wameamka saa 9 usiku kuwahi mishe. Mwenyewe alise ASIFANYA KAZI NA ASILE!!!!!!!! Simple intepretation asiejishughulisha abaki masikini.

WEWE LALA USIBIRI MUNGU AKUSHUSHIE ROBA LA POUNDS NA DOLLARS ILE UMEMALIZA TU KUSALI! FANYA KAZI NA ATAKUBARIKI KWENYE HIZO KAZI!
 
Mawazo yako mazuri sana, lakini karibu site kwenye uhalisia halisi. Me nitakupokea kwa mikono miwili na ubongo wangu ote.

Mi niko site kitambooooo! Sie wachaga business ndo ishu zetu! Mtoto wa mjini hauoneshwi pesa ilipo unanusa tu!
 

Rejea mfano wa Owner wa Pepsi hapo juu! Amepanga Masaki nyumba ya 6000$ miaka kibao, wala hajengi nyumba ya kuishi, pesa yake anaizungusha, na ana mahelaaaaaaa ya kumwaga. Haiwezekani uwe na pesa nyingi afu uwe na maisha ya shida!

Aliepanga Masaki kwenye jacuzi na swimmingpool na anaekaa kwenye nyumba yake Kinzudi gofu gofu nani ana better standard of living?

Swala ni kuwa hata mimi if i could afford ningekaa masaki upepo unakovuma, sio kwamba sitaki napenda niishi kwangu maramba 50. AFFORDANCE IS THE BIG ISSUE. Sasa nachosema ni kumanage hizo funds ulizozika maramba 50 ili kugenerate funds zaidi kuweza ku afford THE BEST NEIGHBOURHOOD! LOOKING AT THE BIGGER PICTURE!
 
Nipe ABC za deal unazoshughurika nazo kwa pm.

Haina haja ya PM mimi ni Corporate Marketer! Una ishu nakutafutia corporate clients, wanakupa tenda unanilipa commission. Mind you I aint cheap!

Pia hata kama una deal yoyote soko limekudindia wewe nione. Ndo nakwambia hivi as long as i control the MARKET mimi kutoka ni easy. Now im just working on the capital. Sitaki kukopa, wala kupewa na mtu. Nakusanya zangu mwenyewe, ndo hizo sasa watu wanataka nikazizike maramba saba. On the meantime namtumikia kafiri nipate mtaji wangu.

So dont think ugumu wa soko siujui. It my job kuuface daily. And i have seen its possible, and proved to various people waliotaka consultation.
 
Ila mimi ki ukweli kwa sasa naona faida ya kuichimbia pesa chini lara 1, nilijenga nyumba Mtoni
na Segerea baada ya muda ile mtoni nikaiuza kwa pesa nzuri nikafungua hospitali kwenye nyumba
yangu ya Segerea inayoniingizia si chini ya laki 4 daily,na nimejenga nyumba ambayo naishi silipi kodi,
na sasa nimeanza kujenga nyumba kadhaa Kinyerezi kama cotters,ambazo zitaniingizia kiasi cha laki tatu kwa mwezi
kila moja,ki ukweli sijutii kuichimbia pesa maana naishi bila presha' kuliko biashara hasa kwa biashara za Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…