Wa ufukweni nao watazawadiwa nini?

Wa ufukweni nao watazawadiwa nini?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Zawadi inatabia ya kuamsha hamasa ya kuipata. BIKO inatoa zawaidi kwa watu 3 kati ya watu 30, 000,000. wenye uwezo wa kucheza BIKo, ndiyo maana hao watu 3 wakipa wanaoneshwa kila media ili watu 'wezembe' tuingie mtegoni pia tucheze.
Wanzanzibar wafundishwe kuipenda na kuifia nchi yao buree kabisa. Zawadi isipotumiwa vizuri inaweza kuleta madhara makubwa mbele ya safari.
Juzi Cecafa na leo zamu ya soka la ufukweni, keshokutwa, mtondogoo, ....Balaa ni pale wengine watakapokosa.
 
Back
Top Bottom