Waaauh! Geza has been right this whole time!

That what you do with money , you imagin what 'you could' do with it, in the right hand of course
The biggest problem in africa is not resources including money, is allocation of and fair distribution of resources which in turn is affected very much by corruption, nepotism, Tribalism, impunity just few to mention, with these on place, don't expect much no matter how much money the country is making.
 
Pia kuna watu wa me-shrink river overflowing space/corridor kwa kujenga concrete dykes na wengine ku-block ama ku-reroute natural water channels hawa husababisha water levels ku-rise hovyo. Sababu kubwa ikiwa maji hukosa mkondo wake asili na mahali pa kupumulia mvua kidogo ikinyesha.
 
Corruption is a Cancer all Kenyans talk of how we should be rid off but at the same time participate in. How many times have you bribed that cop that caught you with a car fault, or that employer friend of your to take in your son/daughter?

Until we personally change, we've got no moral authority to demand change from those we elect. They're a reflection of our mannerisms and thinking. Na ninajua for as long as umepewa option ya kutoa sh1000 and avoid a court trial, or get your kid a job, we'll keep on being a corrupt society.
 
Mlitakiwa kunyakua tuta kutoka magomeni hadi 'faya' pale daraja la kajima pangenyanyuka kwa mita ziszopungua 12 hiyo wala siyo ghali kama mnavyotaka kuwaaminisha watu.
Eti miundombinu imara! Likituo la mabasi hayo mmelijenga kwenye mlango bahari!! ni kama mlishikiwa mtutu wa bunduki.
 
Acha kuzuga na lafudhi ya Kenya wakati wewe ni nyumbu mchawi
Tupianga pictures tuone vyenye yanakunywa maji mtoni.
Mimi mu east africa sio lazima nitokee kolomije kuongea kikolomije.
 
Tupianga pictures tuone vyenye yanakunywa maji mtoni.
Mimi mu east africa sio lazima nitokee kolomije kuongea kikolomije.
Iyo Kenyan slang sio vyenye, ni venye
Siwezi poteza battery charge kupiga picha minyumbu mtu.
 
Kaka muungwani akivuliwa nguo uchutama usiendelee kusimama utadhalilika, hakuna tuta linalofika ukubwa wa hizo mita ulizosema, hata yale madaraja marefu unayoyaona kule SGR ya Kenya, ni machache sana yanayofikia hizo mita ulizozitaja, nikuulize maswali machache
1)Ulitaka hilo tuta linyanyuliwe kwa lane za BRT tu au pamoja na barabara za kawaida zilizokuwapo?, kumbuka mkataba wa BRT ni kujenga lane tu na vituo, sio madaraja au barabara zingine
2)Kwa mfano wangefanya kama unavyopendekeza wewe kunyanyua tuta la mita 12 juu, je maji yangepitaje wakati eneo lote kati ya Magomeni na fire ni mto?
3)Gharama za kujenga tuta toka Magomeni hadi fire na kujenga daraja, ipi ni nafuu zaidi?
4) Unaweza kukadiria kwa urefu wa Magomeni hadi fire ni mita ngapi, then tulinganishe na daraja la Kigamboni au la Mkapa kule kusini?
 
Watu ni wajinga sana! Watu wanafikiri tuta tu ndo suluhisho.
 
Watu ni wajinga sana! Kaka.
 
Source gani ilisema ni $54 bill...acha umbea.
 
Watu ni wajinga sana! Watu wanafikiri tuta tu ndo suluhisho.
Hivi kwa uwezo huu wa waafrika katika kudadavua mambo, kweli tutapata maandeleo endelevu?, kwa sababu maendeleo ya kweli huletwa na watu, mbona afrika tunatatizo kubwa la watu kiasi hiki?, watu nikimaanisha wenye uwezo wakubadilisha utility ya natural resources tulizonazo, vingonevyo tutabaki kusema Afrika ni tajiri ya mali asili lakini uwezo wa kuzigeuza hizo mali asili kuwa fedha haupo
 
Iyo Kenyan slang sio vyenye, ni venye
Siwezi poteza battery charge kupiga picha minyumbu mtu.
Kiambuu na kericho lafudhi tofauti na kipsigisi hata lamu kuna kimvita huko.
 
Rudia kusoma ulichoandika naona umejipinga mwenyewe.

Yaani ni kama walipewa kujenga barabara ya brt bila kufanya upembuzi yakinifu.

Umekiri sehemu kuwa tatizo la maji kujaa pale jangwani ni la miaka mingi je mliamua kuyazamisha magari kwenye maji kwa makusudi si ndio?

NI HIVII:

Palitakiwa tuta pale full stop.
 
Huwezi kutoka chama cha Vibendera ukaongea la maana kwenye Mada Muhimu kama hii
 

Story za Udaku mnashabikia sana nyie watu
Kwahiyo hatuwezi kukushangaa kwa hilo
 
Huna unalofahamu kuhuzu ujenzi wa barabara, unachojua zaidi ni habari ya Amisa Mabote na Zari wakipigana vijembe, rudi kule kwenye eneo lako, huku umepotea njia
 
Huna unalofahamu kuhuzu ujenzi wa barabara, unachojua zaidi ni habari ya Amisa Mabote na Zari wakipigana vijembe, rudi kule kwenye eneo lako, huku umepotea njia
Tekeleza nilichokwambia i.e kurudia kusoma ulichoandika.

So many contradicting facts.
 
Tekeleza nilichokwambia i.e kurudia kusoma ulichoandika.

So many contradicting facts.
Nimekuuliza maswali manne, hujajibu hata moja unatoa hoja juu ya hoja, huo ni mjadala gani kama sio mijadala ya Zari na Amisa Mobeto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…