Waaauh! Geza has been right this whole time!

Huku Tz kuna project tuliambiwa ime cost 10B Tzs kumbe imecost 54B Tzs so difference ya 44B imeenda kusikojulikana nyie wakenya ndo mnatakiwa kushukuru kuwa na Uhuru ambaye ni transparent hiyo reli wanayosema watajenga kwa 1.5B $ when time comes audit itaonyesha 10B$ itafika time na tuta recall this
acha uzushi bongo hamna ufisadi😀
 
Kaka muungwani akivuliwa nguo uchutama usiendelee kusimama utadhalilika, hakuna tuta linalofika ukubwa wa hizo mita ulizosema,
Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.
yale madaraja marefu unayoyaona kule SGR ya Kenya, ni machache sana yanayofikia hizo mita ulizozitaja,

Bwwakyaakyaya hahahaha!
Mbavu ninazo kucheka halali yangu.

nikuulize maswali machache

Kabla hujaniuliza zama kwenye hizo hoja zako mbili zinazopingana, moja ikiniunga mkono na nyingine ikinipinga kisha mjadala utaendelea

1)Ulitaka hilo tuta linyanyuliwe kwa lane za BRT tu au pamoja na barabara za kawaida zilizokuwapo?,
Hii naijibu in advance.
Strabag kampuni ya kijerumani walijenga barabara yote kwa maana ya ile ya mabus ya DART na ile ya matumizi ya magari mengine.

kumbuka mkataba wa BRT ni kujenga lane tu na vituo,
Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)
Mkataba umeugusia kama guidance ya product mbaya!

MKATABA
MKATABA
MKATABA

Hapa umenikumbusha makinikia na bombadier yetu iliyodakuliwa Canada.

Hoja zilizosalia nakuwekea akiba nione majibu ya hoja nilizokupa then nitamalizia.

=====KARIBU=====

sio madaraja au barabara zingine
2)Kwa mfano wangefanya kama unavyopendekeza wewe kunyanyua tuta la mita 12 juu, je maji yangepitaje wakati eneo lote kati ya Magomeni na fire ni mto?
3)Gharama za kujenga tuta toka Magomeni hadi fire na kujenga daraja, ipi ni nafuu zaidi?
4) Unaweza kukadiria kwa urefu wa Magomeni hadi fire ni mita ngapi, then tulinganishe na daraja la Kigamboni au la Mkapa kule kusini?
 
Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.

Bwwakyaakyaya hahahaha!
Mbavu ninazo kucheka halali yangu.

Kabla hujaniuliza zama kwenye hizo hoja zako mbili zinazopingana, moja ikiniunga mkono na nyingine ikinipinga kisha mjadala utaendelea

Hii naijibu in advance.
Strabag kampuni ya kijerumani walijenga barabara yote kwa maana ya ile ya mabus ya DART na ile ya matumizi ya magari mengine.

Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)
Mkataba umeugusia kama guidance ya product mbaya!

MKATABA
MKATABA
MKATABA

Hapa umenikumbusha makinikia na bombadier yetu iliyodakuliwa Canada.

Hoja zilizosalia nakuwekea akiba nione majibu ya hoja nilizokupa then nitamalizia.

=====KARIBU=====
Ndiyo sababu nikakuambia huna unalojua katika ujenzi wa BRT, pia ninahisi uelewa waku wa kujibu maswali ni mdogo sana, hata sijaelewa katika hili jibu lako zaidi ya kuona maneno MKATABA mara chato. Any way, all signs indicate that we are not at the same level of thinking and capability of analysing things, wishing you all the best.
 
Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.

Bwwakyaakyaya hahahaha!
Mbavu ninazo kucheka halali yangu.

Kabla hujaniuliza zama kwenye hizo hoja zako mbili zinazopingana, moja ikiniunga mkono na nyingine ikinipinga kisha mjadala utaendelea

Hii naijibu in advance.
Strabag kampuni ya kijerumani walijenga barabara yote kwa maana ya ile ya mabus ya DART na ile ya matumizi ya magari mengine.

Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)
Mkataba umeugusia kama guidance ya product mbaya!

MKATABA
MKATABA
MKATABA

Hapa umenikumbusha makinikia na bombadier yetu iliyodakuliwa Canada.

Hoja zilizosalia nakuwekea akiba nione majibu ya hoja nilizokupa then nitamalizia.

=====KARIBU=====
mkuu inaonyesha wewe unatembea na flash.
 
kwa bahati mbaya sana hata Raila angeingia Ikulu kua raisi upigaji ungeedelea...
Raila anapewa sapoti ya kifedha na akina Jimmy Wanjigi ambao ni wapiga dili....
ufisadi wa Kenya suluhisho sio Raila Au Uhuru...
 
Samu Uthamaki ndio nini?
Uthamahaki ni msemo wa lugha ya Kikuyu unamaanisha "given to anointed one" yaani Uhuru maana wamemfanya Daudi wa Biblia ya Agano la Kale! [emoji23] [emoji115]
 
Wewe samueli acha tabia za Miguna Miguna leo huku kesho kule unahangaika kama wachuuza ngono.
 
Uthamahaki ni msemo wa lugha ya Kikuyu unamaanisha "given to anointed one" yaani Uhuru maana wamemfanya Daudi wa Biblia ya Agano la Kale! [emoji23] [emoji115]

Wewe kibwengo shida yako ni kwamba hujui ya kuwa hujui. Uthamaki is servititude and leading your people to the promised land. More like the story of Moses leading the people to Canaan. The Agikuyu were not governed by kings or monarchs. Thus the concept of King David is non-existant in the Gikuyu culture.
 
Back
Top Bottom