Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
- Thread starter
- #41
Some people who think they were born to rule Kenya by all meansSamu Uthamaki ndio nini?
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some people who think they were born to rule Kenya by all meansSamu Uthamaki ndio nini?
acha uzushi bongo hamna ufisadi😀Huku Tz kuna project tuliambiwa ime cost 10B Tzs kumbe imecost 54B Tzs so difference ya 44B imeenda kusikojulikana nyie wakenya ndo mnatakiwa kushukuru kuwa na Uhuru ambaye ni transparent hiyo reli wanayosema watajenga kwa 1.5B $ when time comes audit itaonyesha 10B$ itafika time na tuta recall this
leta mapicha ya hiyo third rate railR u sure urs can't be swept away with water ? Do u want a picture showing part of the railway swept away with water?
Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.Kaka muungwani akivuliwa nguo uchutama usiendelee kusimama utadhalilika, hakuna tuta linalofika ukubwa wa hizo mita ulizosema,
yale madaraja marefu unayoyaona kule SGR ya Kenya, ni machache sana yanayofikia hizo mita ulizozitaja,
nikuulize maswali machache
Hii naijibu in advance.1)Ulitaka hilo tuta linyanyuliwe kwa lane za BRT tu au pamoja na barabara za kawaida zilizokuwapo?,
Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)kumbuka mkataba wa BRT ni kujenga lane tu na vituo,
sio madaraja au barabara zingine
2)Kwa mfano wangefanya kama unavyopendekeza wewe kunyanyua tuta la mita 12 juu, je maji yangepitaje wakati eneo lote kati ya Magomeni na fire ni mto?
3)Gharama za kujenga tuta toka Magomeni hadi fire na kujenga daraja, ipi ni nafuu zaidi?
4) Unaweza kukadiria kwa urefu wa Magomeni hadi fire ni mita ngapi, then tulinganishe na daraja la Kigamboni au la Mkapa kule kusini?
Ndiyo sababu nikakuambia huna unalojua katika ujenzi wa BRT, pia ninahisi uelewa waku wa kujibu maswali ni mdogo sana, hata sijaelewa katika hili jibu lako zaidi ya kuona maneno MKATABA mara chato. Any way, all signs indicate that we are not at the same level of thinking and capability of analysing things, wishing you all the best.Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.
Bwwakyaakyaya hahahaha!
Mbavu ninazo kucheka halali yangu.
Kabla hujaniuliza zama kwenye hizo hoja zako mbili zinazopingana, moja ikiniunga mkono na nyingine ikinipinga kisha mjadala utaendelea
Hii naijibu in advance.
Strabag kampuni ya kijerumani walijenga barabara yote kwa maana ya ile ya mabus ya DART na ile ya matumizi ya magari mengine.
Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)
Mkataba umeugusia kama guidance ya product mbaya!
MKATABA
MKATABA
MKATABA
Hapa umenikumbusha makinikia na bombadier yetu iliyodakuliwa Canada.
Hoja zilizosalia nakuwekea akiba nione majibu ya hoja nilizokupa then nitamalizia.
=====KARIBU=====
mkuu inaonyesha wewe unatembea na flash.Umeona ulichoandika? soma sasa hapa chini utagundua upo uchi sokoni.
Bwwakyaakyaya hahahaha!
Mbavu ninazo kucheka halali yangu.
Kabla hujaniuliza zama kwenye hizo hoja zako mbili zinazopingana, moja ikiniunga mkono na nyingine ikinipinga kisha mjadala utaendelea
Hii naijibu in advance.
Strabag kampuni ya kijerumani walijenga barabara yote kwa maana ya ile ya mabus ya DART na ile ya matumizi ya magari mengine.
Vituo wamejenga wao hao unaodai haikuwa jukumu lao barabara bila vituo ni sawa na njia ya ng'ombe (unanikumbusha traffic lights za chato)
Mkataba umeugusia kama guidance ya product mbaya!
MKATABA
MKATABA
MKATABA
Hapa umenikumbusha makinikia na bombadier yetu iliyodakuliwa Canada.
Hoja zilizosalia nakuwekea akiba nione majibu ya hoja nilizokupa then nitamalizia.
=====KARIBU=====
Teh teh teh!mkuu inaonyesha wewe unatembea na flash.
Uthamahaki ni msemo wa lugha ya Kikuyu unamaanisha "given to anointed one" yaani Uhuru maana wamemfanya Daudi wa Biblia ya Agano la Kale! [emoji23] [emoji115]Samu Uthamaki ndio nini?
Uthamahaki ni msemo wa lugha ya Kikuyu unamaanisha "given to anointed one" yaani Uhuru maana wamemfanya Daudi wa Biblia ya Agano la Kale! [emoji23] [emoji115]
Uthamaki ina maana uongozi bora wenye makini ya kusonga mbele na kuona mbali.Samu Uthamaki ndio nini?
Acha urongo. Wewe ni mbongo, jamii ya nyumbu. Full stopKiambuu na kericho lafudhi tofauti na kipsigisi hata lamu kuna kimvita huko.
I heard when the mungiki perform their sacrifices, they murmur those words whilst drinking animal's blood.Some people who think they were born to rule Kenya by all means
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app