Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Usisikitishwe na mawaziri na watendaji wa serikali ambao kila siku CAG anapiga kelele kwamba wanafisadi kodi za wananchi,usikitishwe na Heche ambaye raia wanajitoa kumsupport. Hovyo kabisa wewe!
mawaziri wa serikali sikivu ya CCM wanafanya kazi nzuri sana ya kulitumikia taifa na waTanzania wote kwa ujumla.
hata hivyo,
wazee wa katavi wameapa kwamba fisadi heche asipochomoka mwenyewe kwa hiyari yake watamchomoa wenyewe kiteknolojia fisadi huyo wa pesa za chadema.
hili unaizungumzia gentleman?🐒