Gentleman,Usisikitishwe na mawaziri na watendaji wa serikali ambao kila siku CAG anapiga kelele kwamba wanafisadi kodi za wananchi,usikitishwe na Heche ambaye raia wanajitoa kumsupport. Hovyo kabisa wewe!
Huyu jamaa yupo nchini? Sijasikia habari zake muda mrefu kidogo.Nguchiro wa Chaumma huwezi kuwasikia wakikemea ufisadi kama huu View attachment 3640074
Yupo ila naona kuna kitu kinatokota huko maana zile trending zimeishaHuyu jamaa yupo nchini? Sijasikia habari zake muda mrefu kidogo.
Yaani mtu akitoa tuhuma ni jukumu lake kutoa ushahidi...Chadema wakifisadi sio ufisadi.
Hii ni precedent mbaya.
Hapa ndipo kikipo kituko cha mwakaUsisikitishwe na mawaziri na watendaji wa serikali ambao kila siku CAG anapiga kelele kwamba wanafisadi kodi za wananchi,usikitishwe na Heche ambaye raia wanajitoa kumsupport. Hovyo kabisa wewe!
Wameawa raia zaidi ya 10,000 kabla na baada ya Oktoba 29 2026 kwa amri ya Samia.John Heche ni Lionel Messi wa ufisadi ndani ya chadema, anafuatiliwa dunia nzima gentleman.
CHAUMMA unawasingizia tu π
Ushahidi weka hapa ili tukuunge mkono.Chadema wakifisadi sio ufisadi.
Hii ni precedent mbaya.
hiyo porojo haiwezi kuatract public sympathy gentleman, jaribu ingine πWameawa raia zaidi ya 10,000 kabla na baada ya Oktoba 29 2026 kwa amri ya Samia.
Hilo linakugusa au bado tuendelee kuimba Heche ni hatari kwa Taifa?
Mauaji ya Oktoba 29+ ni porojo????hiyo porojo haiwezi kuatract public sympathy gentleman, jaribu ingine π
hebu iandikie uzi mahususi jukwaani tuone kama sio porojo hiyo gentleman πMauaji ya Oktoba 29+ ni porojo????
Nadhani sasa kumbe mnachotafuta ni kuua na to get away?
Wewe ni Muuaji, Mtekaji, Mtesaji, Mfiraji na Katili sana.
Post zako nitakuwa nzipita. Haufai kuwa wanajamii kwa namna ulivyo
umewahi kuchangia kiasi gani?John Heche ni Lionel Messi wa ufisadi ndani ya chadema, anafuatiliwa dunia nzima gentleman.
CHAUMMA unawasingizia tu π
kwani miongoni mwa gari za makamu mwenyekiti wa chadema taifa amepewa na nani?πumewahi kuchangia kiasi gani?
Umechangia kiasi gani?John Heche ni Lionel Messi wa ufisadi ndani ya chadema, anafuatiliwa dunia nzima gentleman.
CHAUMMA unawasingizia tu π
Ujawahi kuchangia chochote usiwe Kama shogakwani miongoni mwa gari za makamu mwenyekiti wa chadema taifa amepewa na nani?π