Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Nchi hii ina shida kibao, badala ya kupambana nazo wanakimbilia mambo madogo ambayo huwezi kuyatokomeza kamwe!! Ila ni kutafuta sifa tu aonekane anafanya kazi!!
 
Hana akili hata ukimuangalia TU utaona hana akili binafsi ningemuona ana akili kama angepita Kila mtaa na kuangalia wanapata wapi maji safi na salama ,hali ya biashara ikoje,barabara zikoje,usalama wa raia na Mali zao,shule watoto wanasoma vipi n.k
 
Jamaa amekaa na washauri wake wakaona wafanye jambo gn ili mama amuone mana hakuna mradi wowote kwake, wakaona waje na huu upuuzi πŸ—‘οΈ
 
Hana akili hata ukimuangalia TU utaona hana akili binafsi ningemuona ana akili kama angepita Kila mtaa na kuangalia wanapata wapi maji safi na salama ,hali ya biashara ikoje,barabara zikoje,usalama wa raia na Mali zao,shule watoto wanasoma vipi n.k
Naunga mkono hoja Serikali itambue kuwa hawa VIJANA wanaowaita Dadapoa hawafanyi ngono kwa raha na utashi wao!. Hawa ni matokea ya serikali ya CCM kuharibu ajira kwa vijana wa Kitanzania.
Haki ya faraga haipo tena, mnakamata watu wako Gest houses!! mnachungulia madirishani.
 
Halafu wateja wakubwa ni hawa hawa magiant wa kwenye mfumo..
Muda wa majadiliano pale katikati ya Tanzania wanaenda wengi sana ule mkoa na biashara inafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…