Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Nchi hii ina shida kibao, badala ya kupambana nazo wanakimbilia mambo madogo ambayo huwezi kuyatokomeza kamwe!! Ila ni kutafuta sifa tu aonekane anafanya kazi!!
 
Hana akili hata ukimuangalia TU utaona hana akili binafsi ningemuona ana akili kama angepita Kila mtaa na kuangalia wanapata wapi maji safi na salama ,hali ya biashara ikoje,barabara zikoje,usalama wa raia na Mali zao,shule watoto wanasoma vipi n.k
 
Naunga mkono hoja Serikali itambue kuwa hawa VIJANA wanaowaita Dadapoa hawafanyi ngono kwa raha na utashi wao!. Hawa ni matokea ya serikali ya CCM kuharibu ajira kwa vijana wa Kitanzania.
Haki ya faraga haipo tena, mnakamata watu wako Gest houses!! mnachungulia madirishani.
 
Ukahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
Halafu wateja wakubwa ni hawa hawa magiant wa kwenye mfumo..
Muda wa majadiliano pale katikati ya Tanzania wanaenda wengi sana ule mkoa na biashara inafanyika.
 
Back
Top Bottom