white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Nchi hii ina shida kibao, badala ya kupambana nazo wanakimbilia mambo madogo ambayo huwezi kuyatokomeza kamwe!! Ila ni kutafuta sifa tu aonekane anafanya kazi!!Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.