Sasa kwa nini Mungu asiwafungulie neema wamjue, badala yake anawaziba macho na masikio na kuifanya mioyo yao iwe mizito?Hapa wametajwa wale waliokufuru ambao ujumbe wameupata lakini bado wanaendelea kukadhibisha aya zilizo wazi. Kwa hiyo sio kwamba hawajajua kuhusu habari ya Mwenyezi Mungu ila viburi vyao vikafanywa wakapigwa muhuri. Na wengine wapo mbalimbali kwenye zama zilizopita walishahukumiwa moja kwa moja tangu duniani
Ndiyo kama nilivyokujibu hapo awali kwamba walishapewa ujumbe wakumjua Mwenyezi Mungu wao lakini walichupa mipaka kutokana na viburi vyao. Walionyeshwa kila aina ya ishara lakini wao walikuwa wanaleta mzaha.Sasa kwa nini Mungu asiwafungulie neema wamjue, badala yake anawaziba macho na masikio na kuifanya mioyo yao iwe mizito?
Kitendo cha Mungu kuingilia kikizidisha uwezekano wa hawa watu kutomjua Mungu lawama ni kwao au kwa Mungu?
Wewe mtu, amka hapo usingizini. Wengi tulikuwa kama wewe lakini tukapata muda wa kujitafakari na kugundua hizi imani ni mipango ya watu tu, ivi ushawahi jiuliza kwanini kila imani inavutia kamba kwake?Dini sahihi ni dini ya Allah (SWT), dini ya kiisilamu, full stop.
Kuna mda flan sku ya jana nlikua nafikiria kwamba " labda uchawi n kitu kzuri lakn wazungu walivokuja na dini zao wakaanza kusema mabaya juu ya uchawi". Mfano,katika biashara mtu akifankiwa utaskia et anatumia uchawi ina maana uchawi una nguvu zaid. Au kwenye siasa utaskia fulan karoga iili apate ubunge.Dini zetu si ndio huu Uchawi tulionao wenzetu wa Afrika ya Magharibi wamejitahidi kuendelea na Voodo yao
Sisi huku Afrika ya Mashariki inatubidi nasi tuhalalishe
Hii imesababishwa na wazungu wame brainwash akiili zetu. Walituaminisha kua kitu chochote cha Africa n kibaya na dhaifu.Hapa ndio hua nasikitika sana.
Mtu anaitwa Mwita ama Maduhu anaona hayo ama Mushi majina hayana maana, ni majina ya kishenzi, ya mizimu, majina ya laana ila Christopher, Brown, Foxx, Adella, Angela, Joyness, Paulina, Fransisca na majina kama hayo ndio mazuri, ndio majina ya maana, ndio majina yaliyobarikiwa. Mambo ya kipumbavu kabisa.
Huko Benin Serikali yao na Katiba yao zinaamini Uchawi lakini ndio Masikini sana katika AfrikaKuna mda flan sku ya jana nlikua nafikiria kwamba " labda uchawi n kitu kzuri lakn wazungu walivokuja na dini zao wakaanza kusema mabaya juu ya uchawi". Mfano,katika biashara mtu akifankiwa utaskia et anatumia uchawi ina maana uchawi una nguvu zaid. Au kwenye siasa utaskia fulan karoga iili apate ubunge.
Nategemea kufanya research nijue n kwa nn wakoloni walitumia nguvu nyng sana kuuponda uchawi??? Kwa nn walitumia nguv nyng sana kusambaza dini zao?? Mda mwngne ukigoma kuamin wanakuua why??
Sometimes nafikiriaga huenda wazungu nao n wachaw (lakn kwa kuwa uchawi wao wameu document ndio mana tunaona ktu cha kawaida) mfano ndege inapaa ,whatsapp videocall, hv vtu vingefanywa na mwafrika tungeambiwa n uchawi lakn kwa kua kafanya mzungu bas tunaambiwa n technology.
In short hua nafikiria kwamba "wazungu wameficha uchawi wao kwny mwamvuli wa technolojia"
Kuna mda flan sku ya jana nlikua nafikiria kwamba " labda uchawi n kitu kzuri lakn wazungu walivokuja na dini zao wakaanza kusema mabaya juu ya uchawi". Mfano,katika biashara mtu akifankiwa utaskia et anatumia uchawi ina maana uchawi una nguvu zaid. Au kwenye siasa utaskia fulan karoga iili apate ubunge.
Nategemea kufanya research nijue n kwa nn wakoloni walitumia nguvu nyng sana kuuponda uchawi??? Kwa nn walitumia nguv nyng sana kusambaza dini zao?? Mda mwngne ukigoma kuamin wanakuua why??
Sometimes nafikiriaga huenda wazungu nao n wachaw (lakn kwa kuwa uchawi wao wameu document ndio mana tunaona ktu cha kawaida) mfano ndege inapaa ,whatsapp videocall, hv vtu vingefanywa na mwafrika tungeambiwa n uchawi lakn kwa kua kafanya mzungu bas tunaambiwa n technology.
In short hua nafikiria kwamba "wazungu wameficha uchawi wao kwny mwamvuli wa technolojia"
mungu huyo unayemzungumzia ana ujuzi wote na uwezo wote?Ndiyo kama nilivyokujibu hapo awali kwamba walishapewa ujumbe wakumjua Mwenyezi Mungu wao lakini walichupa mipaka kutokana na viburi vyao. Walionyeshwa kila aina ya ishara lakini wao walikuwa wanaleta mzaha.
Bahati ya kumjua Mwenyezi Mungu walipata kutoka kwa mtume mwenyewe.
Mwenyezi Mungu ana ujuzi wote na uwezo wote.mungu huyo unayemzungumzia ana ujuzi wote na uwezo wote?