Waafrika hatuna kisingizio cha maendeleo yetu duni, Mwafrika ana tamaa, mbinafsi na akishiba hamjui mwenye njaa,

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno

Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye shida, hawaishii hapo wana tamaa za kula mpaka misaada ya kutatua matatizo, Ni ulafi ulipitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…