Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

Mkuu kwahiyo unaona kawaida kwa waafrika kubaguliwa?
ukisoma comment yangu kwa umakini utajua imelenga kundi lipi la watu! siku zote mcheza kwao hutunzwa.... zile penati wangekosa kina harry kane, maguire, nk leo hii huu uzi usingekuwepo

ulaya ni taifa moja tu ambalo ni ufaransa ndo naona lina kiwango kidogo sana cha ubaguzi

narudia tena
HAKUNA MWAFRIKA YEYOTE MWENYE ASILI YA UINGEREZA, HAO WOTE NI WAHAMIAJI/WAZAMIAJI
 
Kwa timu ya taifa mi naona ilikuwa halali kabisa wale jamaa kubaguliwa... Walikuwa wanakumbushwa umuhimu wa asili zao! Hakuna mwingereza mzawa ambaye ni mweusi, hao wote ni wazamiaji...
Wangerudi kuyasaidia mataifa yao huku wangeshukuriwa sana!

Sijawahi ona Esien akibaguliwa kwny timu yake ya taifa licha ya kuikosti sana kwenye makombe ya dunia hasa kwenye penati, rejea kule kwa Madiba walipokutana na Uruguay
Africa is a home for all blacks, love your origin, it will love you back
Unamzungumzia asamoah gyan bila shaka.
 
Ebu taja na nchi zingine zilizopitisha katiba mpya, na zinafanya ushenzi kama wazulu wafanyavyo!!

Kuna nchi 50 na zaidi, je hawa wote wapo kwenye ujinga kama wasauzi??

Wale ni wapumbavu, hata timu lao la taifa na club zao sio za kushabikia.

Mungu asaidie katiba ipitishwe
embu tupe nchi angalau moja iliyopitisha katiba mpy na imetulia tuliii... katiba ni mwanzo wa maafa kwny nchi nyingi za kiafrika, katiba mpya huleta chuki baina ya watu

na huwa nawashangaa sana wanaokomaa kusema katiba mpya ni takwa la watanzania wote, wakati hapa mtaani kwetu kila mtu haoni umuhimu wake!

sasa hao watanzania wote ndo watu wa wapi hawa? vichekesho kweli dah!
 
Ebu taja na nchi zingine zilizopitisha katiba mpya, na zinafanya ushenzi kama wazulu wafanyavyo!!

Kuna nchi 50 na zaidi, je hawa wote wapo kwenye ujinga kama wasauzi??

Wale ni wapumbavu, hata timu lao la taifa na club zao sio za kushabikia.

Mungu asaidie katiba ipitishwe
Hizo mbili ni sample kuonyesha tatizo halipo kwenye katiba ila tatizo ni utekelezaji na kuwafanya wananchi kuona gap la utajiri na umaskini ni mdogo
 
ukisoma comment yangu kwa umakini utajua imelenga kundi lipi la watu! siku zote mcheza kwao hutunzwa.... zile penati wangekosa kina harry kane, maguire, nk leo hii huu uzi usingekuwepo

ulaya ni taifa moja tu ambalo ni ufaransa ndo naona lina kiwango kidogo sana cha ubaguzi

narudia tena
HAKUNA MWAFRIKA YEYOTE MWENYE ASILI YA UINGEREZA, HAO WOTE NI WAHAMIAJI/WAZAMIAJI
Kweli mkuu lakini hata kama ila tunapaswa kupinga hili
 
Kwani metacha mnata siku ile anatukanwa kisa kufungwa magoli ya kizembe mpka akaonyesha dole la Kati kumbe wale mashabiki pale uwanja wa taifa walikua wazungu wa ulaya???

Hata hapa bongo hayo madhira yanawakuta wachezaji mara kibao tu ninashawishika kuamn unataka kuleta propaganda tu.

Haya mambo kwenye soka yapo tu watu kuitwa majina ya hovyooo hasa mchezaji anapovurunda tena yapo kila sehemu.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Naenda na kimoja kimoja nimeanza na mpira baadae siasa.
Endelea kusubscribe Nyuzi zangu kwa habari zaidi
Hebu acha ujinga wa kutaka kuingilia uhuru wa Watanzania hadi kuwaamulia kile wanachotaka kukipenda. Ubaguzi wa maccm hapa nyumbani umeuona!? Mbona ubaguzi wa Watanzania dhidi ya Watanzania wenzao hadi kufikia kuwaua?

Au Ubaguzi wa Watanzania kwa Watanzania unaofanywa na maccm ni RUKHSA kuukumbatia!?

Ngoja tuanze kuyapinga hapa kwanza
 
Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa"

Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo.

Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la kupendeza, pia ni aina ya burudani, njia ya kupumzika, njia ya kukimbia shinikizo za maisha yaani kuepuka upweke. Tunavaa Mashati ya Arsenal, kuonyesha 'uaminifu' wetu kwa timu ya kigeni. Tunajua historia ya Manchester United kama nyuma ya mkono wetu. Tunakosoa mtindo wa uchezaji wa Jose Moirinho na mamlaka isiyo na kifani. Tunachambua bei za wachezaji bora kuliko mawakala wa wanariadha wazoefu.

Kukamilisha kukamata akili, kampuni za kubashiri zimejaa kila nchi ya Kiafrika, na kuahidi kuwafanya Waafrika vijana, wenye nguvu mamilionea wa dola kutoka kwa kamari (Kutabiri matokeo ya michezo ya Uropa) Sehemu yetu yenye tija zaidi ya idadi ya watu imeunganishwa kwenye michezo ya watazamaji, kamari na maono.

Licha ya mawaidha ya mara kwa mara kutoka kwa Wazungu, kwamba sisi ni wageni kwa njia yao ya maisha, kwa jamii yao yenye utaratibu, hatupati somo kamwe. Tunaendelea kupigania ujumuishwaji, tukiwaomba wakomeshe ubaguzi wa rangi, watukubali kama viumbe sawa. Hatujafanikiwa kwa miaka 500, ni vipi duniani tunatarajia matokeo tofauti?

Mtu mweusi katika jamii ya wazungu anaruhusiwa hadi anapoishiwa bahati. Marcus Rashford, Jadon Sancho na Bukayo Saka walikuwa wa thamani, walisherehekea nyota wa Soka la Uingereza hadi mambo hayakufanyika katika Fainali za Kombe la Euro. Ghafla, Waingereza walikumbuka kuwa wavulana hawa hawakuwa wazungu. Katika siku chache zilizopita, wamelazimika kuvumilia aina mbaya za unyanyasaji wa rangi.

Vyombo vya habari na wasomi wazungu wa umma watalaani tabia hii ya kibaguzi, lakini haitawafunua wazungu nyuma ya haya yote. Ikiwa wangejali kumaliza huu upuuzi, wangewapa wahalifu tikiti ya kwenda Dodoma. Wazalendo wangeweza kutoa somo lisilosahaulika.

Historia inawalazimisha Waafrika kutenda kama mmoja juu ya suala hili. ACHA kuangalia mpira wa miguu Ulaya. Sio kwa siku, sio kwa mwezi, sio kwa mwaka, lakini kwa umilele. Itakuwa ya gharama kubwa sana kwa wabaguzi kuwatesa watu wachanga wa Kiafrika wanaojaribu kupata maisha ya uaminifu huko ughaibuni.

Jikomboe.
Si kwamba nawabagua ila wao wanatubagua
Mimi huwa napenda kitu kwa uzuri wake na si nani anaimuliki

Ungeanza na hiyo simu au kompyuta uliyonayo, then fuata nguo za mtumba ulizonazo, viatu, saa, kama una gari..etc

KIFUPI, kwa yale ambayo hatuna uwezo nayo, SI HIARI TENA BALI NI LAZIMA TUTPENDA VYA NJE
 
Lijinga Hilo
Mimi huwa napenda kitu kwa uzuri wake na si nani anaimuliki

Ungeanza na hiyo simu au kompyuta uliyonayo, then fuata nguo za nyumba ulizonazo, viatu, saa, kama una gari..etc

KIFUPI, kwa yale ambayo hatuna uwezo nayo, SI HIARI TENA BALI NI LAZIMA TUTPENDA VYA NJE
 
Nani kakudanganya kwamba nimesubsribe kufuatilia nyuzi zako!? 😳😳😳 kwa kipi hasa unachoandika? Ule upuuzi wako wa kumpigia debe Sabaya uliishia wapi!?
Narudia tena acha kuingilia uhuru wa watu wa kupenda kile watakacho. Kama huna la maana kuandika piga kimya.

Naenda na kimoja kimoja nimeanza na mpira baadae siasa.
Endelea kusubscribe Nyuzi zangu kwa habari zaidi
 
Sijakwambia umesubscribe nimesema endelea kusubscribe utanielewa utake usitake

Back
Top Bottom