Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

Mkuu kwahiyo unaona kawaida kwa waafrika kubaguliwa?
ukisoma comment yangu kwa umakini utajua imelenga kundi lipi la watu! siku zote mcheza kwao hutunzwa.... zile penati wangekosa kina harry kane, maguire, nk leo hii huu uzi usingekuwepo

ulaya ni taifa moja tu ambalo ni ufaransa ndo naona lina kiwango kidogo sana cha ubaguzi

narudia tena
HAKUNA MWAFRIKA YEYOTE MWENYE ASILI YA UINGEREZA, HAO WOTE NI WAHAMIAJI/WAZAMIAJI
 
Unamzungumzia asamoah gyan bila shaka.
 
embu tupe nchi angalau moja iliyopitisha katiba mpy na imetulia tuliii... katiba ni mwanzo wa maafa kwny nchi nyingi za kiafrika, katiba mpya huleta chuki baina ya watu

na huwa nawashangaa sana wanaokomaa kusema katiba mpya ni takwa la watanzania wote, wakati hapa mtaani kwetu kila mtu haoni umuhimu wake!

sasa hao watanzania wote ndo watu wa wapi hawa? vichekesho kweli dah!
 
Hizo mbili ni sample kuonyesha tatizo halipo kwenye katiba ila tatizo ni utekelezaji na kuwafanya wananchi kuona gap la utajiri na umaskini ni mdogo
 
Kweli mkuu lakini hata kama ila tunapaswa kupinga hili
 
Kwani metacha mnata siku ile anatukanwa kisa kufungwa magoli ya kizembe mpka akaonyesha dole la Kati kumbe wale mashabiki pale uwanja wa taifa walikua wazungu wa ulaya???

Hata hapa bongo hayo madhira yanawakuta wachezaji mara kibao tu ninashawishika kuamn unataka kuleta propaganda tu.

Haya mambo kwenye soka yapo tu watu kuitwa majina ya hovyooo hasa mchezaji anapovurunda tena yapo kila sehemu.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Naenda na kimoja kimoja nimeanza na mpira baadae siasa.
Endelea kusubscribe Nyuzi zangu kwa habari zaidi

 
Ngoja tuanze kuyapinga hapa kwanza
 
Mimi huwa napenda kitu kwa uzuri wake na si nani anaimuliki

Ungeanza na hiyo simu au kompyuta uliyonayo, then fuata nguo za mtumba ulizonazo, viatu, saa, kama una gari..etc

KIFUPI, kwa yale ambayo hatuna uwezo nayo, SI HIARI TENA BALI NI LAZIMA TUTPENDA VYA NJE
 
Lijinga Hilo
 
Nani kakudanganya kwamba nimesubsribe kufuatilia nyuzi zako!? 😳😳😳 kwa kipi hasa unachoandika? Ule upuuzi wako wa kumpigia debe Sabaya uliishia wapi!?
Narudia tena acha kuingilia uhuru wa watu wa kupenda kile watakacho. Kama huna la maana kuandika piga kimya.

Naenda na kimoja kimoja nimeanza na mpira baadae siasa.
Endelea kusubscribe Nyuzi zangu kwa habari zaidi
 
Sijakwambia umesubscribe nimesema endelea kusubscribe utanielewa utake usitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…