Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

ulitegemea wafanyweje? wacha watukanwe, mbwembwe zote walizonazo zinatokana na hao hao wazungu, wamelelewa na hao hao wazungu baadae wameishia kuwakera
 
Yaani tuache kuangalia mpira wa Ulaya tuje tuangalie mpira ambao, kupanga ratiba tu kumemshinda Karia??. Afu kuna wakati kuna haja ya kutofautisha ukweli na ubaguzi. Muda si mrefu sana Italy waliwatoa England kwa penalty, waliokosa penalties walikuwa ni Young na Ashly Cole (wachezaji weusi). Mara hii Saka, Rashford na Sancho (wachezaji weusi tena) dhidi ya timu ile ile , kwa hali ya kawaida ni lazima iibue maswali.
 
Ili kukubali kupost hapa ni lazima utakuwa karibu na huyo muuaji na unamkubali. Vipi bado anakupa mabandiko yake akiwa lupango uyaweke hapa!?

Pole kwa kutoelewa.

Kwenye huo uzi nimeandika kua Ole sabaya ndo aliye andika hivyo mimi niliwakilisha.
Narudia tena pole kwa kutoelewa 🤭🤭🤭
 
Ili kukubali kupost hapa ni lazima utakuwa karibu na huyo muuaji na unamkubali. Vipi bado anakupa mabandiko yake akiwa lupango uyaweke hapa!?
Yapo mengi sana na humu yamo
 
Ndo inatakiwa uwe mshauri si kuanza kuponda eti sijui sabaya kafanya nini
Be careful on what you are doing. You’ll end up regretting your decision for the rest of your life.
 
Kisheria kumpa audience aliye lupango aseme anayotaka kuyasema na yanayaweza kuhusu kesi yake au zake zilizompeleka lupango au kutamba kuishi kifahari lupango ni KOSA. Akigunduliwa ataishia pabaya.
Naona unachuki bunafsi hilo bandiko liliandikw kipindi sabaya yupo lupango?
Au unachuki zako
 
Siyo essien aliekosa penalty ni asamoah gyan
 
Chuki na muaji!? Hahahahaha mpuuzi kweli wewe!!! Hivi unyama alioufanya huyo muuaji dhidi ya Watanzania mbali mbali kuwateka, kuwapora, kuwakata masikio, kuwalawiti na hata kuwaua wasio na hatia inakuwaje unakuwa na ukaribu na huyo dhalimu?

Naona unachuki bunafsi hilo bandiko liliandikw kipindi sabaya yupo lupango?
Au unachuki zako
 
Kwahiyo unataka niwe mbaguzi?
Mtu hatengwi bali anaeleweshwa
Chuki na muaji!? Hahahahaha mpuuzi kweli wewe!!! Hivi unyama alioufanya huyo muuaji dhidi ya Watanzania mbali mbali kuwateka, kuwapora, kuwakata masikio, kuwalawiti na hata kuwaua wasio na hatia inakuwaje unakuwa na ukaribu na huyo dhalimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…