Essien alikosa penati wapi? Sadio Mane kipindi anazomewa Hadi analia na Wasenagali wenzio ulikuwa wapi?Kwa timu ya taifa mi naona ilikuwa halali kabisa wale jamaa kubaguliwa... Walikuwa wanakumbushwa umuhimu wa asili zao! Hakuna mwingereza mzawa ambaye ni mweusi, hao wote ni wazamiaji...
Wangerudi kuyasaidia mataifa yao huku wangeshukuriwa sana!
Sijawahi ona Esien akibaguliwa kwny timu yake ya taifa licha ya kuikosti sana kwenye makombe ya dunia hasa kwenye penati, rejea kule kwa Madiba walipokutana na Uruguay
Africa is a home for all blacks, love your origin, it will love you back
Sawa ila ukiniombea mabaya niwe Kama sabaya ni moja ya njia ya mafanikio
Naomba nipmKwa kweli huwa nawashangaa sana wapenda soka, esp la nje,anyway ushabiki ni kama ukichaa
Sawa mkuu lakini hawa watu tunaweza sema wamezidi sana kwa kufanya hivyoNisaidiwe hapa. Huo ubaguzi wanaobaguliwa ni upi? Kuitwa manyani tu au kuna lingine. Sisi mablack ndio tunalialia. Tungewapuuza hizi kelele zisingekuwepo. Kwenye dimba tukiupiga mwingi kama pele, na Neymar, unadhani hata wakikuita nyani kuna shida. Maana nyavu zinawajua vizuri hawa miamba.
Kuhusu kutokuangalai soka la ulaya ni ngumu sana. Tangu uje ulimwengu wa setilite TVs, hii haiepukiki tena. Tuacheni sisi wanazi wa reds tuendelee kuona zile tackle anazopiga Fabinho Tabarezi, zile dribbling anazofanya Bobby akiwa fit. Yale magoli anayofunga king Salah na yale mashuti anayotandika Mane.
Zile nguvu anazotumia VvD na yale mashuti anayopangua Allison.
Siwezi kukaa nikaangalia mpira eti ihefu anacheza na mwadui😆😆 au mbao anacheza na biashara mara😁😁
Hilo nalo nenoSwala la kushabikia mpira wa ulaya liko palepale mkuu, swala lako ubaguzi wa rangi Kwa vijana wenye asili ya Afrika wala usijipe shida, kila mchezaji mwenye asili hiyo atafute origin ya nchi yake ndo akachezee taifa lake huko na sio kujipendekeza kwenye mataifa ya watu weupe
Yaan Kama ingekuwa Kama kila mchezaji mwenye asili ya Afrika anarudi kwenye asili yake, mfano big players like kante, pogba, rashford, saka, Sancho na wengine wengi it's sure am telling lazima kuna nchi za Afrika kwenye kombe la dunia zingekuwa zinafika mbali sana kwasababu kuna utitiri wa wachezaji wanakimbia origin zao wanaenda sehemu ambayo wapo tayari kubaguliwaHilo nalo neno
Just dm me and hear me outAnhaa hapo sawa.