Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

Hawa ndio wa kuwashangilia.👇
 

Attachments

  • Screenshot_2022-12-16-21-26-44-386_udaku.special.app.jpg
    219.7 KB · Views: 6
Wamekataa wenyewe tena kwa sauti kubwa.Mtuache na mizimu na machawi yetu halafu mfikirie na namna ya kuachana na maliasili zetu.wafirwaji ninyi.
 
Sijui umeielewa mada vizuri! Nani kaumia hapo! Siwezi kuumia ama kuteseka sababu sina chuki na mtu.
Sasa kama hujaumia ama kuteseka! Na huna chuki na mtu! Hiyo nguvu ya kupangia watu maisha unaitoa wapi?

Kwani lazima kila mtu ashabikie Morocco na Misri? Mimi nadhani kila mtu angeishi maisha yake. Kama kuna mtu amechagua kuishabikia Senegal, Ufaransa, nk. Muache!

Na wewe shabikia timu unayoipenda, na hakuna atakaye kulazimisha ushabikie timu nyingine.
 
Mleta mada sidhani kama unawafahamu vizuri Morocco; wanayo yasema raia wa nchi hiyo kuhusu Africa siyo kwa bahati mbaya. Soma historia ya mahusiano ya Morocco na the rest of Africa utaelewa. Huu ujunga wa Morroco huwezi kuukuta Algeria wala Egypt. Binafsi nilidhani Morocco wamejifunza madhara ya kujitenga na Africa kumbe bado. Ipo siku watazijutia sana kauli hizi
 
Tuchukulie mfano huu,
Bwana A mwenye rangi maji ya kunde ana wake wa5. Katika hao wake mmoja wao ni mweusi ambapo wengine ni weupe. Katika kuzaa watoto, mke mweusi akazaa watoto mchanganyiko na wengi wao wakiwa weusi na weupe wachache. Sasa swali ni kwamba je ni sawa kwako hawa watoto weupe wa mke mweusi wamkane mama yao kwakuwa wao ni weupe? Je wawakane na ndugu zao wa tumbo moja kuwa sio ndugu zao kwa kuwa wao ni weusi!? Je, hawa wabaguzi waitwe watoto wa mama yupi!? Je ni sahihi wao kumkana mama yao kuwa hawamtambui kama mama yao bali wanaishi kwake tu? Vip kama wewe ndo baba yao utawafanyaje?
 
Manyanyaso ambayo waarabu huwa wanapata Ulaya ni ajabu Morocco kujifungamanisha nao kuliko Africa. Kwanza Mzungu anamkubali mtu mweusi kuliko mwarabu na wao Morocco hilo wanalijua kabisa.
 
ILA MOROCCO WAO NDO WALIANZA KUTUKANA SISI AFU KUHUSU KUBARIKIWA HUO NI UONGO WA VITABU TU MBNA TEKNOLOGIA NA SUPER POWER NI MAREKANI NA WAO WAPO TU KUTIA HURUMA?

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Namba moja ni waarabu.
 
Morocco wametukana nini na wapi?

Argentina wamewanyamazisha hawa mahaters wa maorocco, jana itakua wengi mno wameumia Argentina kutwaa ubingwa

Asanteni sana Argentina kuwabomoa hao wahaini wa ufaransa.
 
Tuambie sababu ya wewe kuishabikia Morocco na kutokuishabikia Ufaransa, hili jibu litanipa pa kuanzia.

Morocco ni ndugu zetu, na wapo katika bara letu, hivyo lazima niwe upande wao.


Argentina tumemaliza kazi.

God bless Moroccans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…