Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

Waafrika na suala la ubaguzi na ukatili katika soka

Ona lugha za wenzenu nyie waarabu. Alichoongea mwamba hapo ndivyo ilivyo. Kule mashabiki wa Messi. Ufaransa mashabiki wa weusi wengi.

Hata sasa dish limevurugwa

Tumewanyoosha ndugu zako wahaini, pole sana nkoi bhabhaa

Argentina πŸ‡¦πŸ‡· βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›
Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Mleta mada sidhani kama unawafahamu vizuri Morocco; wanayo yasema raia wa nchi hiyo kuhusu Africa siyo kwa bahati mbaya. Soma historia ya mahusiano ya Morocco na the rest of Africa utaelewa. Huu ujunga wa Morroco huwezi kuukuta Algeria wala Egypt. Binafsi nilidhani Morocco wamejifunza madhara ya kujitenga na Africa kumbe bado. Ipo siku watazijutia sana kauli hizi

Messi kawalambisha kamasi wahaini
 
Sasa kama hujaumia ama kuteseka! Na huna chuki na mtu! Hiyo nguvu ya kupangia watu maisha unaitoa wapi?

Kwani lazima kila mtu ashabikie Morocco na Misri? Mimi nadhani kila mtu angeishi maisha yake. Kama kuna mtu amechagua kuishabikia Senegal, Ufaransa, nk. Muache!

Na wewe shabikia timu unayoipenda, na hakuna atakaye kulazimisha ushabikie timu nyingine.
Ni ubaguzi unawatesa, Hata kama asiongeongea huyo nahodha kwani mwarabu ni lini aliwahi kupendwa! Japo waafrika sio wote wabaguzi.

Jana Messi na jeshi lake limemaliza kazi, wahaini warudi kwao
 
Wale wa MOROCCO wapo sahihi hta wangesema hawapo duniani wapo mbinguni kwangu ni sawa tu.Juhud zao zimewafikisha pale na kila nchi ilipata nafasi ya kucheza kombe la dunia,kwann ung'ang'anie kitu ambacho hakikuhusu???


NB;KILA MTU APAMBANIE NCHI YAKE
 
Mimi nimefuatilia kombe la dunia kama burudani,kwa hiyo nchi iliyochukua sawa kwa faida zao
Screenshot_20221216-194217_Instagram.jpg
 
Tumewanyoosha ndugu zako wahaini, pole sana nkoi bhabhaa

Argentina πŸ‡¦πŸ‡· βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›βŒ›
Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
Kwani Agentina nao ni waarabu wenzio. Naanza kuelewa sasa dish lilikoyumbia
 
Kwani Agentina nao ni waarabu wenzio. Naanza kuelewa sasa dish lilikoyumbia

Mmewapaka vyakutosha morocco, mkahamia kwa wafaransa kisa kuna weusi, MESSI hakuangalia sura ya mtu, wamelambishwa kamasi na ubingwa tumechukua.

Hongereni Argentina, mmesitahili ubingwa.

Hongereni Morocco, hakika mlisitahili kufika hapo mlipo
 
Back
Top Bottom