Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
-
- #41
Namba moja ni waarabu.
Ona lugha za wenzenu nyie waarabu. Alichoongea mwamba hapo ndivyo ilivyo. Kule mashabiki wa Messi. Ufaransa mashabiki wa weusi wengi.
Hata sasa dish limevurugwa
Mleta mada sidhani kama unawafahamu vizuri Morocco; wanayo yasema raia wa nchi hiyo kuhusu Africa siyo kwa bahati mbaya. Soma historia ya mahusiano ya Morocco na the rest of Africa utaelewa. Huu ujunga wa Morroco huwezi kuukuta Algeria wala Egypt. Binafsi nilidhani Morocco wamejifunza madhara ya kujitenga na Africa kumbe bado. Ipo siku watazijutia sana kauli hizi
Ni ubaguzi unawatesa, Hata kama asiongeongea huyo nahodha kwani mwarabu ni lini aliwahi kupendwa! Japo waafrika sio wote wabaguzi.Sasa kama hujaumia ama kuteseka! Na huna chuki na mtu! Hiyo nguvu ya kupangia watu maisha unaitoa wapi?
Kwani lazima kila mtu ashabikie Morocco na Misri? Mimi nadhani kila mtu angeishi maisha yake. Kama kuna mtu amechagua kuishabikia Senegal, Ufaransa, nk. Muache!
Na wewe shabikia timu unayoipenda, na hakuna atakaye kulazimisha ushabikie timu nyingine.
Kwani Agentina nao ni waarabu wenzio. Naanza kuelewa sasa dish lilikoyumbiaTumewanyoosha ndugu zako wahaini, pole sana nkoi bhabhaa
Argentina π¦π· ββββββ
Morocco π²π¦ πͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Kwani Agentina nao ni waarabu wenzio. Naanza kuelewa sasa dish lilikoyumbia