Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

Mzimu ni shetani kwa mujibu wa elimu za uchawi.elimu za dini nk.
Hata jina TU zimu means kuzimu yaani viumbe vilivyotoka kuzimu
 
Mzungu kakuletea Yesu akutawale umemchukua Yesu ye kachukua akili na rasilimali
MIMI RASILIMALI YANGU NI YESU mizimu ni Mavi imelaaniwa haina akili abarikiwe Mzungu alie niletea YESU alafu akachukua rasilimali WANGEJUA YESU WALIE NIACHIA KWANGU NI MAJI YALIYO HAI

Mizimu ni Mavi yaliyo oza mababu zangu WALIO kuwa wanaabudu mizimu ningekuwepo enzi hizo ningewakata vichwa.
 
Kwani u
Ulikatazwa na nani?
 
😅Haya philosopher tusifike huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…