Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
1. Utasikia Wazungu wanatubagua
2. Waarabu wanatubagua
3. Wachina wanatubagua
4. Wasouth Africa wanatubagua
5. Serikali zao zinawabagua
6. Wanabaguana kwa dini
7. Itikadi
8. Kabila
9. Koo
10. Imani
Ni Race Lalamishi ambayo haijawahi tokea Duniani. China iliwahi tawaliwa na Japan. Kwa sasa China ni Taifa kubwa sana. Huwasikii wakilalamika lalamika.
Waafrika ni wazalendo wa. mataifa mengine kuliko yao. Utawakuta wanawatetea waarabu mpaka mishipa inawatoka na hasira jazba na matusi na ukiwa karibu wanakukata kichwa.
Utawasikia wanawatetea wazungu huku wanatabasamu kabisa na wanajisikia amani.
Lakini miafrika hii inafurahia kusikia waafrika wenzao wanateswa, wanauawa, wanapotezwa n.k ila akitokea Mwarabu kapotezwa au kauawa, kateswa wataanzisha nyuzi za kutetea sana na kutaka asaidiwe.
Ikitokea mzungu katendewa hivyo miafrika itajikomba sana kumtetea.
Lakini kwa wao kwa wao .... Inajichekesha chekesha na kulalamikia wazungu na waarabu. Mtu akishindwa jambo au akitaka awapate waafrika atasema yeye mzalendo anapambana na wazungu. Huku akiua waafrika wenzie na kuwatesa. Utashangaa. Wakati huo huo utamwona kwa wazungu wa upande wa kushoto au wachina. Au waarabu.
Mwafrika hawezi simama peke yake. Lazima atafute bwana wa kum support. Ni kama mwanamke feminist ambaye anakuwa na bwana wa kumsaidia huku akiponda wanaume wengine ambao hawakubaliani naye.
Miafrika ni milalamishi. Ikitengeneza kitu wazungu wakikataa inalalamika. Unashangaa je imetengenezea wazungu? Si wapo waafrika wenyewe? Ikigundua kitu inataka wazungu au china waunge mkono au watoe haki miliki. Wakikataa inakuja kulalamika. Utashangaa hawa waafrika mbona shindika?
Utakuta waafrika wanabishana kuwa waisrael waliopo pale ni fake. Utacheka sana na kuona hii miafrika mbona haina akili? Huku kwao wameshika uchumi Wahindi, Wachina, Waarabu na Wazungu. Ila inabishana kuhusu Waisrael original.
Waafrika wanaandamana sababu ya Palestina na Israel ila hawaandamani sababu ya Wakongo, Somali, Sudani , Naijeria na wao wenyewe. Utashangaa sana.