Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya.
Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas.
Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo.
Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe katika uhuni tumtumikie Mungu kihuni.
Tujikumbushie kitabu cha (2 timotheo 3-4)
"Utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mafundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia waalimu tele watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayari kusikia. Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo."
Tujikumbushie kitabu cha (mathayo 24: 23-24)
"Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu"
Tujikubushie kitabu cha ( 2 wakorintho 11: 13-15)
"Maana, hao ni mitume wa uongo, wafanyakazi wadanganyifu wanaojisingizia kuwa mitume wa Kristo.Wala si ajabu, maana hata Shetani mwenyewe hujisingizia kuwa malaika wa mwanga! Kwa hiyo si jambo la kushangaza ikiwa na hao watumishi wake wanajisingizia kuwa watumishi wa haki. Mwisho wao watapata kile wanachostahili kufuatana na matendo yao"
FIKIRIA KWA KINA USIWE SEHEMU YA MATRIX