Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
- Thread starter
- #21
PAM0JA ASANTENon Governmental Organization
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PAM0JA ASANTENon Governmental Organization
Nadhani nategemea umeendaje huko Ulaya. Kama umeenda kwa kupitia kujiita au kuwa mkimbizi wa kweli utaitwa mkimbizi....lakini ukienda kwa ajili ya masomo hasa ya shahada za juu utaitwa mtafiti. Na si kila mzungu ni mbaguzi, wapo wengi tu wasio wabaguzi na wanasumbua vichwa vyao kuhakikisha wanatatatu changamoto za waafrika ikiwemo ujinga, njaa, maradhi n.k.>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti
>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada
>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii
kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
umemalza au badoNadhani nategemea umeendaje huko Ulaya. Kama umeenda kwa kupitia kujiita au kuwa mkimbizi wa kweli utaitwa mkimbizi....lakini ukienda kwa ajili ya masomo hasa ya shahada za juu utaitwa mtafiti. Na si kila mzungu ni mbaguzi, wapo wengi tu wasio wabaguzi na wanasumbua vichwa vyao kuhakikisha wanatatatu changamoto za waafrika ikiwemo ujinga, njaa, maradhi n.k.
Tupige kazi na tuongeze bidii ktk ubunifu ndo heshima itakuja .hata mbuyu ulianza kama mchicha>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti
>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada
>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii
kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
Thanks sana Mkuu ubinaadamukwanza .Nakupa 10/10.
Kumzindua Mwafrika ni Ibada.
Ni ibada kubwa sana maana Unamtatetea Kiumbe kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu. Viumbe vinavyodharaulika. Viumbe vinavyonyanyasika.
Hii ndio lugha zinazotakiwa kuzungumzwa katika mitandao ya jamii katika karne moja inayokuja.
Mwenyezi Mungu hakufanya makosa kumuumba Mwafrika. Na Mwafrika hakuja duniani kupata shida.
Historia inaonyesha "Civilization" imeanzia Afrika. Kusema Mwafrika hawezi ni makosa.
Wazungu ndio wametuigiza Utamaduni wetu. Elimu waliokuwa nayo historia imetokea Afrika. Hizi sio simulizi.
Angalieni Timbaktu, kulikuwa na elimu na maendeleo kabla hata Ulaya hajajulikana. Ndio maana Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Bwana Thabo Mbeki katika Utawala wake na harakati zake za kufufua hadhi na utu wa Mwafrika ali "adopt" rasmi Timbaktu na kuahidi kufufua historia yake.
Mifumo inayotawala imetengenezwa kumkadamiza Mwafrika. Fikra zetu zimepigwa mnada na tumewekwa kwenye giza na hawa hawa viongozi wetu wa sasa
Nini maana ya "Mapinduzi", kwanini Mwalim Nyerere alitumia neno hili? Ni neno zito sana. From "Oppression to Liberation", does this word or this theory "Revolution" applies anywhere in Tanzania?? Come back to us with a correct answer and stimulate this debate on a political matured lever and humble African traditional and respected manner.
Mwafrika hana damu ya manjano. Ni Binaadamu kama mtu mwingine.
Mwaka jana, Waafrika wakiwa kwenye mfuko wa bahari huko Afrika Kusini wakati wakisheherekea sikukuu yao ya Krismas. Mama mmoja wa Kizungu ambae yuko katika chama cha Upinzani Afrika Kusini, aliandika kupitia mtandao wake wa "Twiter" kuwa Waafrika waliojazana ufuko wa Bahari ni kama Manyani.
Wazazi wa Kiafrika na watoto wao wanatukanwa.
Atakomboleka tuu Mwafrika.
Kumradhi mkuu.Non Governmental Organization
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti
>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada
>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii
kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo