Waafrika Tunadharauliwa kabisa.

Waafrika Tunadharauliwa kabisa.

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
1,448
Reaction score
661
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti

>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada

>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii

kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
 
Tunastahili dharau hizo kwa sababu wengi wetu hatuna ustaarabu, utaratibu, wala miiko ya kanuni za maisha.
Tunapenda kusimamiwa badala ya kujisimamia, hatupendani sisi kwa sisi, kwa ujumla waafrica tunastahili dharau hizo
 
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti

>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada

>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii

kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
Waafrika wakisafiri kwa ndege = Wabeba unga
Wadhungu wakisafiri kwa ndege = maDiplomasia

Waafrika wakizagazaga China = Makahaba
Wadhungu wakizagazaga Africa = NGOs

tuwasamehe tu....
 
Sisi wenyewe ni hovyo tunakulana sisi kwa sisi ni lini tuheshimike?. Mtu kapatwa na janga la tetemeko la aridhi unamwambie naye atetemeke. Hii ni sawa?.
UMENIFUNGUA
 
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti

>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada

>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii

kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
Sikujuwa hili ni jukwaa gani ila ndio nimeona sasa hivi.

Kwaheri, hata mzungu akila maharage watasema ana hamu ila wewe umefulia.
 
Katika vitu binadamu aliekamilika anazaliwa na Ufahamu au maarifa,Utashi na akili vitu vyote waafrica tunavyo kama utashi ni kitendo cha kujua mabaya na mazuri kitu hiki ndo kinatutofautisha na wanyama pia ufahamu au maarifa tunayo kwani maarifa ni mkusanyiko wa ujuzi,weledi na taarifa ambazo mtu anasipata kupitia uzoefu kwenye kazi au shuleni waafrica tunao ufahamu au maarifa kwani wapo waliokwenda shule vizuri na wanazoefu mzuri sana

kitu pekee ambacho aidha tumenyimwa au atukitumii ni akili kwani akili ni uwezo wa hari ya juu wa kutumia ufahamu au maarifa na mala nying Akili zinatoka kwa mungu yani ni kipaji hakuna chuo au sehemu yeyote wanayoweza kukupatia akili ila zipoo sehemu unaweza kupata ufahamu au maarifa
sasa hii inawezekana waafrica tukawa tumenyiwa tunu hii adhimu au tumewapa wazungu akili zetu wafikirie kwa ajili yetu sisi tumekuwa wapokeaji badala ya watengenezaji au washiriki katika utengenezaji
 
Nakupa 10/10.
Kumzindua Mwafrika ni Ibada.
Ni ibada kubwa sana maana Unamtatetea Kiumbe kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu. Viumbe vinavyodharaulika. Viumbe vinavyonyanyasika.

Hii ndio lugha zinazotakiwa kuzungumzwa katika mitandao ya jamii katika karne moja inayokuja.

Mwenyezi Mungu hakufanya makosa kumuumba Mwafrika. Na Mwafrika hakuja duniani kupata shida.

Historia inaonyesha "Civilization" imeanzia Afrika. Kusema Mwafrika hawezi ni makosa.
Wazungu ndio wametuigiza Utamaduni wetu. Elimu waliokuwa nayo historia imetokea Afrika. Hizi sio simulizi.

Angalieni Timbaktu, kulikuwa na elimu na maendeleo kabla hata Ulaya hajajulikana. Ndio maana Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Bwana Thabo Mbeki katika Utawala wake na harakati zake za kufufua hadhi na utu wa Mwafrika ali "adopt" rasmi Timbaktu na kuahidi kufufua historia yake.

Mifumo inayotawala imetengenezwa kumkadamiza Mwafrika. Fikra zetu zimepigwa mnada na tumewekwa kwenye giza na hawa hawa viongozi wetu wa sasa

Nini maana ya "Mapinduzi", kwanini Mwalim Nyerere alitumia neno hili? Ni neno zito sana. From "Oppression to Liberation", does this word or this theory "Revolution" applies anywhere in Tanzania?? Come back to us with a correct answer and stimulate this debate on a political matured lever and humble African traditional and respected manner.

Mwafrika hana damu ya manjano. Ni Binaadamu kama mtu mwingine.

Mwaka jana, Waafrika wakiwa kwenye mfuko wa bahari huko Afrika Kusini wakati wakisheherekea sikukuu yao ya Krismas. Mama mmoja wa Kizungu ambae yuko katika chama cha Upinzani Afrika Kusini, aliandika kupitia mtandao wake wa "Twiter" kuwa Waafrika waliojazana ufuko wa Bahari ni kama Manyani.
Wazazi wa Kiafrika na watoto wao wanatukanwa.

Atakomboleka tuu Mwafrika.
 
>MWAFRIKA akienda ulaya = mkimbizi
>MZUNGU akija afrika = mtafiti

>KUNDI LA WAAFRIKA wakiwa ulaya = magaidi
>KUNDI LA WAZUNGU wakiwa afrika = wat0a misaada

>KUNDI LA WAAFRIKA katika mbuga za wanyama = wajangili
>KUNDI LA WAZUNGU ktk mbuga za wanyama = watalii

kama wajua udharilishwaji mwingne 0ngezea
asante yangu ni hayo
Hizo sifa anazitoa nani kama siyo ninyi wenyewe kwa maneno au kwa matendo yenu.
 
Back
Top Bottom