Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hata wachina walikuwa wameachwa mbali.Watu weupe wamesha tuacha mbali sana, kikubwa ni kujifunza waliwezaje kufika hapo walipo...
MbonaHata wachina walikuwa wameachwa mbali.
Ujerumani nao baada ya first world war, walichakazwa vibaya na wakarudi back to square one.
Lakini walipambana kwa akili, jasho na damu kuwafikia wengine.
Sisi waafrika tunapambana kujionesha tu na kutafuta attention za wazungu.
Sisi tunasindikiza dunia tu!
Wachina na waarabu wanaplan mambo ya miaka 100 mbele wakati sisi watu weusi tunaangalia leo tu mtu akipewa dhamana anatapanya pesa kununua majumba yake binafsi na V8s bila kufikiria wengine wataishi vipi kesho.Hata wachina walikuwa wameachwa mbali.
Ujerumani nao baada ya first world war, walichakazwa vibaya na wakarudi back to square one.
Lakini walipambana kwa akili, jasho na damu kuwafikia wengine.
Sisi waafrika tunapambana kujionesha tu na kutafuta attention za wazungu.
Sisi tunasindikiza dunia tu!
Afrika hakuna wapambanaji.Mbona
Afrika ndio kuna watu wapambanaji tunakwama wapi?
Kabisa mkuu.Wachina na waarabu wanaplan mambo ya miaka 100 mbele wakati sisi watu weusi tunaangalia leo tu mtu akipewa dhamana anatapanya pesa kununua majumba yake binafsi na V8s bila kufikiria wengine wataishi vipi kesho.
Mentality yetu haina utofauti na mentality ya nyani wakivamia shamba la mahindi wanayapopoa yote hata kama mengine watashindwa kuyabeba na hawafikirii kama kesho watahitaji tena
Ndio maana waafrika hatufiki.Mtu anayetafuta validation huwa hafiki mbali, akishapongezwa basi anaona amefika kileleni, na kuona amekata ashiki yake.
Duh kazi ipoAfrika hakuna wapambanaji.
Bali wapigaji na wachumia tumbo.
Ukitaka kujua Afrika kila mtu ni mpigaji, wewe sikiliza tu maongezi ya watu. Utasikia mtu anasema "Aisee huku nilipo ajiriwa nabanwa kichizi napambana niingie serikalini taasisi fulani ina mpunga mrefu". Lengo si kwamba, ni apate mshahara mkubwa. Bali akaibe pia.
Hatupambani kujali na kuboresha maisha ya vizazi vijavyo.
Tunajipambania wenyewe tu kwaku tafuna na kujuhumu rasilimali zetu wenyewe!
Tatizo ni kwamba tumeaminishwa kuwa wazungu ni watu bora duniani.Ndio maana waafrika hatufiki.
Hatupambani kuwashinda wengine.
Tunapambana kutaka recognition na kupongezwa na wazungu.
Bora mchina anaye jipendekeza kwa lengo la kujifunza na kutafuta maarifa. Arudi China kuboresha maisha ya wachina.binafsi sioni tatizo kujipendekeza kwa mtu amabye amekuzidi kila kitu maadamu uko tayari kujifunza, hao wachina unaowasema ni kwamba tu labda hauelewi hata wao wanajipendekeza kwa wazungu tembelea china wewe mzungu halafu uone kama mtapata treatment sawa, hata japani waikoendelea mzungu bado yuji treated better binadamu mwingine yoyote yule.
kwanza hayo unayoyapendekeza ndiyo moja ya sababu kuu kwa nini afrika na watu weusi tuko backward, ni ugonjwa mabo unauwa black americans wengi wanafundishwa kukataa kushirikiana na wazungu inagwaje wamezaliwa USA wanaikataa USA na black american yoyote anayejitahidi kusoma kwa bidii anatengwa na wenzake wanamuita sell out ...
View: https://www.youtube.com/watch?v=Azk4Br9-Luo
Hata kama wazungu wametuzidi.Tatizo ni kwamba tumeaminishwa kuwa wazungu ni watu bora duniani.
Ndiyo maana wanawake wetu hawachoki kujipodia na kutengeneza nywele ziwe kama za wazungu.
Labda siku tukigundua kuwa wazungu ni watu kama sisi tutabadilika.
Bora mchina anaye jipendekeza kwa lengo la kujifunza na kutafuta maarifa. Arudi China kuboresha maisha ya wachina.
Waafrika tuna jipendekeza kutafuta sifa tu na hakuna maarifa yoyote tunayo chukua.
Ni hatari mkuu.Hata kama wazungu wametuzidi.
Tusi ishie kuridhika na kukubali kwamba, wao ndio final say yetu.
Tuibe maarifa na tujifunze. Then tuje tuboreshe Afrika.
Sasa shida yetu sisi, tumekubali hatuwezi. Kilichobaki ni kusifia tu na kutaka recognition ya wazungu.
We are doomed to remain poor forever!!