Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Wazungu ndio walileta hayo magonjwa sasa kwanini leo hawataki kutoa msaada wanataka tufe wakati bado dunia tunaipendaTufanye ulitokea ulipoambiwa.Kwa hiyo tufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu ndio walileta hayo magonjwa sasa kwanini leo hawataki kutoa msaada wanataka tufe wakati bado dunia tunaipendaTufanye ulitokea ulipoambiwa.Kwa hiyo tufanyaje?
Ndio maana magu alikuwa anawachana wazi wazi wanamuona mchawiViongozi wetu ndio wametufikisha hapa.
Ukimwi upo mpaka Marekani, Ulaya, Asia, n.k.
Tunachotofautiana waafrika wanaona ni urijali kutotumia kinga,
Wakawanywesha kwa vijiko ili muupate au?Wazungu ndio walileta hayo magonjwa sasa kwanini leo hawataki kutoa msaada wanataka tufe wakati bado dunia tunaipenda
KabisaNa wawaheshimu wanaowasaidia.Kutwa kucha kuwatukana.
Swali zuriWakawanywesha kwa vijiko ili muupate au?
Hapna walituwekea katika kiungo tunachopenda kutumia sanaWakawanywesha kwa vijiko ili muupate au?
Mabalozi tunaowatukana na kujimwambafy wasiingilie mambo ya nchi(na kwa hakika ni mambo ya kipumbaff)ndiyo hao hupeleka taarifa za madudu yetu kwenye misaada wanayotoa.Hatujawahi kujua kula na vipofu tukiwa kwenye viieite zetu.Kabisa
Acha tu kaka nikienda CTC nitabeba vidonge vya akibaKila kona mbona watu wanalia kuhusu ARV inaonekana watu wameungua
Akili kubwa sanaNgoja mchina achukue tenda itauzwa mpaka pharms izo dawa buku buku tu atakagi pesa ndefu
Kwa nini hamtaki kudumu na wapenzi wenu kwa uaminifu au kutumia "ngosi"?Hapna walituwekea katika kiungo tunachopenda kutumia sana
Sasa hapo ukifa ni kujitakia uone aibu kwenda pharmas kununua daw kulinda privacy yako au usafiri mpaka mkoa mwingine ambao ujulikani ukanunue dawa izoAkili kubwa sana
Mzungu anayeitwa shoga kila siku amegeuka kuwa bwana mkubwa.Hatari sana.Kila kona mbona watu wanalia kuhusu ARV inaonekana watu wameungua
Wali kila siku unachosha kuna siku unapata nyama choma na ugaliKwa nini hamtaki kudumu na wapenzi wenu kwa uaminifu au kutumia "ngosi"?
Anhaaa!Sasa ndiyo hapo utaulizwa..."si ulitaka chai chai..mbona sasa unaliaa"...?Wali kila siku unachosha kuna siku unapata nyama choma na ugali