Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Akiba haiozi litakuwa jambo jema sanaAcha tu kaka nikienda CTC nitabeba vidonge vya akiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiba haiozi litakuwa jambo jema sanaAcha tu kaka nikienda CTC nitabeba vidonge vya akiba
Ngoja tukomaeAnhaaa!Sasa ndiyo hapo utaulizwa..."si ulitaka chai chai..mbona sasa unaliaa"...?
Maisha lazima yaendelee mbele kama kawaidaSasa hapo ukifa ni kujitakia uone aibu kwenda pharmas kununua daw kulinda privacy yako au usafiri mpaka mkoa mwingine ambao ujulikani ukanunue dawa izo
SureAkiba haiozi litakuwa jambo jema sana
Ataleta mchina na mrusi.Mkiambiwa kodi iongezwe mnalia lia, mnategemea hela itoke wapi?
Kodi zinaishia hukuMkiambiwa kodi iongezwe mnalia lia, mnategemea hela itoke wapi?
Ngoja niende hospital nikachukue mabox ya kinga muda si mrefu nayo yatakataMzungu anayeitwa shoga kila siku amegeuka kuwa bwana mkubwa.Hatari sana.
Baada ya msoto na vilio kama gunia saba.Maisha lazima yaendelee mbele kama kawaida