ALEX_ANDER
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 570
- 816
WAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekuwa mbali sana kimaendeleo.WAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)View attachment 1110923
Ethopia hakutawaliwa ina wanaishi maisha km uliyoainisha?Tungekuwa tunaishi maisha ya upori pori yasiyo na ustaarabu wa kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Mzungu kaistaarabisha Africa. Kutoka kwenye usokwe sokwe mpaka kwenye utimamu wa akili. Kusoma, kuvaa, kukaa darasani, mifumo ya utawala, mifumo ya fedha na biashara, vyote tumejifunza kwa mzungu.
Point of correctionTungekuwa tunaishi maisha ya upori pori yasiyo na ustaarabu wa kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Mzungu kaistaarabisha Africa. Kutoka kwenye usokwe sokwe mpaka kwenye utimamu wa akili. Kusoma, kuvaa, kukaa darasani, mifumo ya utawala, mifumo ya fedha na biashara, vyote tumejifunza kwa mzungu.
Unamwaibisha GODZILLA huko alipoTungekuwa tunaishi maisha ya upori pori yasiyo na ustaarabu wa kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Mzungu kaistaarabisha Africa. Kutoka kwenye usokwe sokwe mpaka kwenye utimamu wa akili. Kusoma, kuvaa, kukaa darasani, mifumo ya utawala, mifumo ya fedha na biashara, vyote tumejifunza kwa mzungu.
Waarabu ni mabwanyeye ndio maana fedha yao ilikuwa kwa ajili ya kuuza na kununua tu! Lakini mzungu aliifanya pesa kuwa uchumi kwa kuigeuza kwenda kwenye mifumo ya kodi, huduma, na ajira. Hiyo ndiyo maana halisi ya uchumi wa fedha.Point of correction
Money economy was introduced by the Arab traders who had trading contact with East African societies kabla ya ujio wa wareno.
Pyramids za misri zina utata juu ya ujenzi wake! Hakuna mwenye uthibitisho usio na shaka kwamba pyramids zilijengwa na binadamu!Some parts of the world which today are regarded as being developing countries once were the centres of great civilizations. The contributions of Ancient Mesopotamia and Egypt cannot go unnoticed.
Mwandishi wa hivyo vitabu ni "Africanist" maana ame-dilute historia ili kuipooza makali. Ukweli ni kwamba, wazungu ni superior ndio maana waliweza kuliteka bara zima la Afrika, wakazivunjilia mbali tamaduni za asili za waafrika, wakawa-conquer, wakawabadili fikra na kuwafanya mtende kizungu zungu! (assimilation policy kwa mfano).Unamwaibisha GODZILLA huko alipo
Hebu kale msasa History Form 2
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wao wamejanjaruka juzi tu baada ya vuguvugu la uhuru wa nchi za Afrika, utandawazi, na kuchangamana kwa watu! Walikuwa wapori pori vile vile.Ethopia hakutawaliwa ina wanaishi maisha km uliyoainisha?
Unamaanisha nini unaposema walikuwa wapori pori?Na wao wamejanjaruka juzi tu baada ya vuguvugu la uhuru wa nchi za Afrika, utandawazi, na kuchangamana kwa watu! Walikuwa wapori pori vile vile.
Uncivilized.Unamaanisha nini unaposema walikuwa wapori pori?
Tusingekuwa sehemu yoyote tena ata apa tulipo leo tungekuwa hatujafika sababu viongozi wenyewe ndo kama hawa akina Bashite what do you expect from them to derive?WAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)View attachment 1110923
Asee humu watu wakajipige mSasa ktk history.WAAFRIKA TUSINGETAWALIWA TUNGEKUWA WAPI HII LEO? (Maoni tu, Sio Malumbano)View attachment 1110923
Jibu zuri kukujibu ni Kucheka tuMwandishi wa hivyo vitabu ni "Africanist" maana ame-dilute historia ili kuipooza makali. Ukweli ni kwamba, wazungu ni superior ndio maana waliweza kuliteka bara zima la Afrika, wakazivunjilia mbali tamaduni za asili za waafrika, wakawa-conquer, wakawabadili fikra na kuwafanya mtende kizungu zungu! (assimilation policy kwa mfano).
Wakatengeneza serikali, wakajenga shule na makanisa! Wakati huo, babu yako Kinjektile alikuwa hajui hata maana ya serikali! Yote hayo tukayakopi mpaka leo hii.