Mzuka wanajamvi!
Naandika huu uzi nikiwa na jazba na hasira Sana.
Familia ya Elon Musk ni wazungu Africa kusini iliwakaribisha. Elon Musk akazaliwa Africa kusini kulelewa katika bara letu. Elimu ya awali msosi hewa yote kuvuta ni ya bara letu. Amekuwa kupitia ardhi ya bara letu.
Iweje leo baada ya kufanikiwa na kuwa tajiri namba moja duniani haisaidii Africa bara alipozaliwa na kulelewa?
Hata kuanzisha tu kiwanda cha Tesla au hata kutoa msaada hata wa billion 50 dollars kwa bara lililomfanya awe billionea na afanikiwe.
Juzi soko la hisa lilishuka akapoteza karibu dola billion 30 kwanini asingegawa Africa kuliko iyo hela kuteketea.
Jitu linafikiria kuhamia Mars na kuchezea chezea hela kwa mambo ya kipuuz tu wakati bara alipozaliwa na alipolelewa wanahitaji kupigwa jeki na tafu yeye ajali. Mama yake naye hivo hivo tu.
Tusiruhusu tena Hawa watu wachukue full advantage ya kuja kuzaa huku kwetu kutafuta mibaraka wakishapata mafanikio wanatusahau.
Afadhali Kia na Toyota wameshaanzisha magari yao ya umeme yenye bei nafuu tulione hilo choyo Elon Musk litakapoishia
Shukran ya punda ni mateke