Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto aje aamue kukusaidia usimweke ndo kitega uchumi.Nawasaidia wazazi wangu maana ni wajibu wangu siwasomeshi wanangu waje wanilipe Bali waje wajikimu kimaishaHahahahahaha kumbe mijinga ipo mingi[emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo wazazi wako wasingekusomesha na wew ungefikia wapi..,wapende,waheshimu na uwajali utayaona mafanikio
Bangi anayovuta Elon Musk ni ile ya grade ya kwanza na siyo makapi yenu wanayovuta vichaa wenu!!
Mtoto aje aamue kukusaidia usimweke ndo kitega uchumi.Nawasaidia wazazi wangu maana ni wajibu wangu siwasomeshi wanangu waje wanilipe Bali waje wajikimu kimaisha
Kaburu ni mzawa wa south na kawekeza south.South ya Kaburu ilikuwa na maendeleo kuliko Kwao Uholanzi.Musk ni mkoloni ni kizazi cha makubulu ambao walikuja afrika kutunyonya na siyo kutusaidia. inawezekana musk mwenyewe anaona kama Kuzaliwa SA ni bahati mbaya.
Sawa mkuuKama unakiri kuwa unasaidia wazazi wako kama wajibu wako mbona unadhani watoto wako hawapaswi kuuvaa huo wajibu?
Au unaamini watakukuta unajimudu, kesho ina mengi tusiyoyajua…. tukiwa na nafasi tuandae pa kujishikiza.
Mzuka wanajamvi!
Naandika huu uzi nikiwa na jazba na hasira Sana.
Familia ya Elon Musk ni wazungu Africa kusini iliwakaribisha. Elon Musk akazaliwa Africa kusini kulelewa katika bara letu. Elimu ya awali msosi hewa yote kuvuta ni ya bara letu. Amekuwa kupitia ardhi ya bara letu.
Iweje leo baada ya kufanikiwa na kuwa tajiri namba moja duniani haisaidii Africa bara alipozaliwa na kulelewa?
Hata kuanzisha tu kiwanda cha Tesla au hata kutoa msaada hata wa billion 50 dollars kwa bara lililomfanya awe billionea na afanikiwe.
Juzi soko la hisa lilishuka akapoteza karibu dola billion 30 kwanini asingegawa Africa kuliko iyo hela kuteketea.
Jitu linafikiria kuhamia Mars na kuchezea chezea hela kwa mambo ya kipuuz tu wakati bara alipozaliwa na alipolelewa wanahitaji kupigwa jeki na tafu yeye ajali. Mama yake naye hivo hivo tu.
Tusiruhusu tena Hawa watu wachukue full advantage ya kuja kuzaa huku kwetu kutafuta mibaraka wakishapata mafanikio wanatusahau.
Afadhali Kia na Toyota wameshaanzisha magari yao ya umeme yenye bei nafuu tulione hilo choyo Elon Musk litakapoishia
Shukran ya punda ni mateke
Ww haujaona Baba amezaa tu mtoto, halafu akamtupa? Kwani kuzaliwa Africa ndio nini? Africa haijampa huo utajiri.
USA ndio imemfanikisha hivyo. Na sio wajibu wake kusaidia Africa. Ni wajibu wetu sisi kujiinua. Na hao waTz wanaoenda ughaibuni na kwao hawajengi wala ku-invest wanapatupa kabisa mbona huwaongelei?
inawezekana musk mwenyewe anaona kama Kuzaliwa SA ni bahati mbaya.